Developer IOS
JF-Expert Member
- Jun 20, 2017
- 1,457
- 1,409
Chama chochote kikishaakuwa ni cha upinzani au mawazo mbadala, kazi yake kubwa ni kutafuta mapungufu ya chama tawala na serikali yake na kuyasema hadharani, ili kujipatia gredit kwa wananchi. Kazi ya kusifia na kuiremba serikali hata kama imefanya uovu, uharamia, uonevu, uvunjivu wa sheria NA katiba ya nchi; yakiwemo pia na mazuri, hiyo ni ya chama tawala kwa kuwa hiyo ni serikali yake.Kuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama yanakuudhi au yanaenda kinyume na mawazo yakeo.Pia kwenye demokrasia intelligent people discuss idea not personality.
Hapa jukwaani watu ambao wanaleta mada ambazo zinapongeza mazuri yanayofanywa na serikali yetu ambayo yanaonekana kwa macho wamekuwa wakishambuliwa kwa lugha isiyofaa na kupewa majina ya hovyo na wengine kufikia kuambiwa wanajipendekeza kwa ajili ya teuzi na kikundi cha wahuni wa bavicha jambo ambalo haliishii jukwaani wanaeneza chuki hadi kwenye maisha ya kawaida kwa sisi watu ambao ni verified member jambo ambalo ni baya linalopaswa kukemewa kwa nguvu zote siasa sio uadui kuna maisha baada ya siasa sisi wote ni watanzania.Jambo hili linaonyesha kuwa tutakuwa na Tanzania ya ubaguzi,chuki,mauaji na ukabila ambao unaweza kupelekea vita ya kama ya kimbari endapo chadema watashika hatamu ya uongozi.
Naomba nikumbushe ccm chini ya magufuli ilishinda kwa zaid ya kura mil 8 licha ya kuwakodisha mchezaji wetu wa ziada,hii inamaanisha kuwa walio wengi wanakubaliana na kuwa na imani na chama cha mapinduzi hivyo bavicha wanapaswa waheshimu mawazo ya wengi
Mpaka hapa, umeonyesha wewe sio inteligent pia, kwa ku-discuss Chama cha siasa. Badala ya kujikita kwenye ideaKuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama yanakuudhi au yanaenda kinyume na mawazo yakeo.Pia kwenye demokrasia intelligent people discuss idea not personality.
Hapa jukwaani watu ambao wanaleta mada ambazo zinapongeza mazuri yanayofanywa na serikali yetu ambayo yanaonekana kwa macho wamekuwa wakishambuliwa kwa lugha isiyofaa na kupewa majina ya hovyo na wengine kufikia kuambiwa wanajipendekeza kwa ajili ya teuzi na kikundi cha wahuni wa bavicha jambo ambalo haliishii jukwaani wanaeneza chuki hadi kwenye maisha ya kawaida kwa sisi watu ambao ni verified member jambo ambalo ni baya linalopaswa kukemewa kwa nguvu zote siasa sio uadui kuna maisha baada ya siasa sisi wote ni watanzania.Jambo hili linaonyesha kuwa tutakuwa na Tanzania ya ubaguzi,chuki,mauaji na ukabila ambao unaweza kupelekea vita ya kama ya kimbari endapo chadema watashika hatamu ya uongozi.
Naomba nikumbushe ccm chini ya magufuli ilishinda kwa zaid ya kura mil 8 licha ya kuwakodisha mchezaji wetu wa ziada,hii inamaanisha kuwa walio wengi wanakubaliana na kuwa na imani na chama cha mapinduzi hivyo bavicha wanapaswa waheshimu mawazo ya wengi
Kuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama yanakuudhi au yanaenda kinyume na mawazo yakeo.Pia kwenye demokrasia intelligent people discuss idea not personality.
Hapa jukwaani watu ambao wanaleta mada ambazo zinapongeza mazuri yanayofanywa na serikali yetu ambayo yanaonekana kwa macho wamekuwa wakishambuliwa kwa lugha isiyofaa na kupewa majina ya hovyo na wengine kufikia kuambiwa wanajipendekeza kwa ajili ya teuzi na kikundi cha wahuni wa bavicha jambo ambalo haliishii jukwaani wanaeneza chuki hadi kwenye maisha ya kawaida kwa sisi watu ambao ni verified member jambo ambalo ni baya linalopaswa kukemewa kwa nguvu zote siasa sio uadui kuna maisha baada ya siasa sisi wote ni watanzania.Jambo hili linaonyesha kuwa tutakuwa na Tanzania ya ubaguzi,chuki,mauaji na ukabila ambao unaweza kupelekea vita ya kama ya kimbari endapo chadema watashika hatamu ya uongozi.
Naomba nikumbushe ccm chini ya magufuli ilishinda kwa zaid ya kura mil 8 licha ya kuwakodisha mchezaji wetu wa ziada,hii inamaanisha kuwa walio wengi wanakubaliana na kuwa na imani na chama cha mapinduzi hivyo bavicha wanapaswa waheshimu mawazo ya wengi
Utakuwa mwanachama wetu wa Chauma
Penye rangi nyekundu panakuhusu sana mdau........
Wewe mwenyewe hajielewi huna kigezo cha kutathini chochote tokea lini kilaza kama wewe akajua kibaya ama kizuri?We ndiyo mfano wa mtoa mada kabisaa.
Kamusi zote Tanzania Nimetafuta neno kutathini,wewe mwenyewe hajielewi,lakini sijaelewa maana yake.kuanza kuita watu vilaza na mafala inaonyesha hauna hoja zaidi ya matusi ndiyo maana Mkapa aliwaita malofa wa akili.Wewe mwenyewe hajielewi huna kigezo cha kutathini chochote tokea lini kilaza kama wewe akajua kibaya ama kizuri?
Saa ngapi umesoma kamusi? Acha ushamba wako hoja zipo nyingi jibu ni kwa nini mmzezuia mikutano ya siasa? Zile trilion 1.5 zipo wapi? Ni kwa nini mmekuwa mkiwabambikia kesi na kuwapiga Risasi Wapinzani? Jibu hizo hoja kama wewe una Akili tuone maana wewe ni mbumbumbu lakini unajidai mjuaji mchamba FulaniKamusi zote Tanzania Nimetafuta neno kutathini,wewe mwenyewe hajielewi,lakini sijaelewa maana yake.kuanza kuita watu vilaza na mafala inaonyesha hauna hoja zaidi ya matusi ndiyo maana Mkapa aliwaita malofa wa akili.
Labda kuna mtu atakuwa ka hack accounts yake kisha akaingiza hay maneno, ila wanaccm wengi hawakumbuki huu msemo kuwa "ukiwa muongo usiwe msahaulifu"Penye rangi nyekundu panakuhusu sana mdau........
Ukitaka kula shavu serikalini na katika chama, itukane CDM.; na haribu mali za wanachadema; pia bambikizia kesi viongozi wake.Kuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama yanakuudhi au yanaenda kinyume na mawazo yakeo.Pia kwenye demokrasia intelligent people discuss idea not personality.