Ukitaka kuwa greater thinker kwa chadema itukane serikali

Masenu K Msuya

Verified Member
Jun 20, 2017
1,459
2,000
Kuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama yanakuudhi au yanaenda kinyume na mawazo yakeo.Pia kwenye demokrasia intelligent people discuss idea not personality.

Hapa jukwaani watu ambao wanaleta mada ambazo zinapongeza mazuri yanayofanywa na serikali yetu ambayo yanaonekana kwa macho wamekuwa wakishambuliwa kwa lugha isiyofaa na kupewa majina ya hovyo na wengine kufikia kuambiwa wanajipendekeza kwa ajili ya teuzi na kikundi cha wahuni wa bavicha jambo ambalo haliishii jukwaani wanaeneza chuki hadi kwenye maisha ya kawaida kwa sisi watu ambao ni verified member jambo ambalo ni baya linalopaswa kukemewa kwa nguvu zote siasa sio uadui kuna maisha baada ya siasa sisi wote ni watanzania.Jambo hili linaonyesha kuwa tutakuwa na Tanzania ya ubaguzi,chuki,mauaji na ukabila ambao unaweza kupelekea vita ya kama ya kimbari endapo chadema watashika hatamu ya uongozi.

Naomba nikumbushe ccm chini ya magufuli ilishinda kwa zaid ya kura mil 8 licha ya kuwakodisha mchezaji wetu wa ziada,hii inamaanisha kuwa walio wengi wanakubaliana na kuwa na imani na chama cha mapinduzi hivyo bavicha wanapaswa waheshimu mawazo ya wengi
 
leveroi

JF-Expert Member
Sep 23, 2016
375
500

Chama chochote kikishaakuwa ni cha upinzani au mawazo mbadala, kazi yake kubwa ni kutafuta mapungufu ya chama tawala na serikali yake na kuyasema hadharani, ili kujipatia gredit kwa wananchi. Kazi ya kusifia na kuiremba serikali hata kama imefanya uovu, uharamia, uonevu, uvunjivu wa sheria NA katiba ya nchi; yakiwemo pia na mazuri, hiyo ni ya chama tawala kwa kuwa hiyo ni serikali yake.
Kwa hiyo pasipokuwepo na upinzani wenye nguvu, basis nchi itakuwa ya kiimla na kimwinyi tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
2013

JF-Expert Member
Jan 1, 2013
11,331
2,000
Kuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama yanakuudhi au yanaenda kinyume na mawazo yakeo.Pia kwenye demokrasia intelligent people discuss idea not personality.

Hapa jukwaani watu ambao wanaleta mada ambazo zinapongeza mazuri yanayofanywa na serikali yetu ambayo yanaonekana kwa macho wamekuwa wakishambuliwa kwa lugha isiyofaa na kupewa majina ya hovyo na wengine kufikia kuambiwa wanajipendekeza kwa ajili ya teuzi na kikundi cha wahuni wa bavicha jambo ambalo haliishii jukwaani wanaeneza chuki hadi kwenye maisha ya kawaida kwa sisi watu ambao ni verified member jambo ambalo ni baya linalopaswa kukemewa kwa nguvu zote siasa sio uadui kuna maisha baada ya siasa sisi wote ni watanzania.Jambo hili linaonyesha kuwa tutakuwa na Tanzania ya ubaguzi,chuki,mauaji na ukabila ambao unaweza kupelekea vita ya kama ya kimbari endapo chadema watashika hatamu ya uongozi.

Naomba nikumbushe ccm chini ya magufuli ilishinda kwa zaid ya kura mil 8 licha ya kuwakodisha mchezaji wetu wa ziada,hii inamaanisha kuwa walio wengi wanakubaliana na kuwa na imani na chama cha mapinduzi hivyo bavicha wanapaswa waheshimu mawazo ya wengi
Mpaka hapa, umeonyesha wewe sio inteligent pia, kwa ku-discuss Chama cha siasa. Badala ya kujikita kwenye idea

Sent using Jamii Forums mobile app
 
SAGAI GALGANO

JF-Expert Member
Nov 13, 2009
26,037
2,000
Ukitaka upate cheo kiulani awamu hii watukane wapinzani.
Kuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama yanakuudhi au yanaenda kinyume na mawazo yakeo.Pia kwenye demokrasia intelligent people discuss idea not personality.

Hapa jukwaani watu ambao wanaleta mada ambazo zinapongeza mazuri yanayofanywa na serikali yetu ambayo yanaonekana kwa macho wamekuwa wakishambuliwa kwa lugha isiyofaa na kupewa majina ya hovyo na wengine kufikia kuambiwa wanajipendekeza kwa ajili ya teuzi na kikundi cha wahuni wa bavicha jambo ambalo haliishii jukwaani wanaeneza chuki hadi kwenye maisha ya kawaida kwa sisi watu ambao ni verified member jambo ambalo ni baya linalopaswa kukemewa kwa nguvu zote siasa sio uadui kuna maisha baada ya siasa sisi wote ni watanzania.Jambo hili linaonyesha kuwa tutakuwa na Tanzania ya ubaguzi,chuki,mauaji na ukabila ambao unaweza kupelekea vita ya kama ya kimbari endapo chadema watashika hatamu ya uongozi.

Naomba nikumbushe ccm chini ya magufuli ilishinda kwa zaid ya kura mil 8 licha ya kuwakodisha mchezaji wetu wa ziada,hii inamaanisha kuwa walio wengi wanakubaliana na kuwa na imani na chama cha mapinduzi hivyo bavicha wanapaswa waheshimu mawazo ya wengi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Behaviourist

JF-Expert Member
Apr 8, 2016
29,034
2,000
Hii ndiyo serekali tukufu ambayo haipaswi kutukanwa??!
-%20KumbukiziMTAFUTANO.jpeg
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,443
2,000
Penye rangi nyekundu panakuhusu sana mdau........

Demokrasia ya CCM ni kuwabambikia kesi kuwapiga Risasi Wapinzani kuzuia mikutano ya siasa kuwalipa akina Cyprian musiba pesa za walipa kodi wafanye propaganda za kijinga kishamba shamba tu
 
blackcornshman

JF-Expert Member
Aug 25, 2016
4,169
2,000
Wewe mwenyewe hajielewi huna kigezo cha kutathini chochote tokea lini kilaza kama wewe akajua kibaya ama kizuri?
Kamusi zote Tanzania Nimetafuta neno kutathini,wewe mwenyewe hajielewi,lakini sijaelewa maana yake.kuanza kuita watu vilaza na mafala inaonyesha hauna hoja zaidi ya matusi ndiyo maana Mkapa aliwaita malofa wa akili.
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,443
2,000
Kamusi zote Tanzania Nimetafuta neno kutathini,wewe mwenyewe hajielewi,lakini sijaelewa maana yake.kuanza kuita watu vilaza na mafala inaonyesha hauna hoja zaidi ya matusi ndiyo maana Mkapa aliwaita malofa wa akili.
Saa ngapi umesoma kamusi? Acha ushamba wako hoja zipo nyingi jibu ni kwa nini mmzezuia mikutano ya siasa? Zile trilion 1.5 zipo wapi? Ni kwa nini mmekuwa mkiwabambikia kesi na kuwapiga Risasi Wapinzani? Jibu hizo hoja kama wewe una Akili tuone maana wewe ni mbumbumbu lakini unajidai mjuaji mchamba Fulani
 
minyoo

JF-Expert Member
May 25, 2013
20,443
2,000
Watetezi wa CCM ni mbumbumbu na wengi wapo gheto kwa cyprian Musiba akiwalisha maharage akiwakaririsha ujinga wake wote na cha ajabu wanakariri pasipo kujiongeza ndiyo maana utetezi wa CCM unafanana sana na mara zote ni wa kijinga jinga inashangaza chama kama CCM kuwatumia cyprian Musiba na Le mutuz kuandaa vijana wa kuwatetea mitandaoni wakati wapo watu kibao wenye Akili ambao wangewaajiiri wapate kupambana vizuri na upinzani mitandaoni.
 
The Invincible

JF-Expert Member
May 6, 2006
5,945
2,000
Kuna katabia ka hovyo sana hapa jukwaani,kuna kikundi cha wahuni wa bavicha flani ambacho always kinadai kinapigania demokrasia na uhuru wa kujieleza ambao hata viongozi wao nao nyimbo yao ni hiyo hiyo.Demokrasia imejengwa na hali ya kuvumiliana na kuheshimu mawazo ya mengine hata kama yanakuudhi au yanaenda kinyume na mawazo yakeo.Pia kwenye demokrasia intelligent people discuss idea not personality.

Hapa jukwaani watu ambao wanaleta mada ambazo zinapongeza mazuri yanayofanywa na serikali yetu ambayo yanaonekana kwa macho wamekuwa wakishambuliwa kwa lugha isiyofaa na kupewa majina ya hovyo na wengine kufikia kuambiwa wanajipendekeza kwa ajili ya teuzi na kikundi cha wahuni wa bavicha jambo ambalo haliishii jukwaani wanaeneza chuki hadi kwenye maisha ya kawaida kwa sisi watu ambao ni verified member jambo ambalo ni baya linalopaswa kukemewa kwa nguvu zote siasa sio uadui kuna maisha baada ya siasa sisi wote ni watanzania.Jambo hili linaonyesha kuwa tutakuwa na Tanzania ya ubaguzi,chuki,mauaji na ukabila ambao unaweza kupelekea vita ya kama ya kimbari endapo chadema watashika hatamu ya uongozi.

Naomba nikumbushe ccm chini ya magufuli ilishinda kwa zaid ya kura mil 8 licha ya kuwakodisha mchezaji wetu wa ziada,hii inamaanisha kuwa walio wengi wanakubaliana na kuwa na imani na chama cha mapinduzi hivyo bavicha wanapaswa waheshimu mawazo ya wengi
Ukitaka kula shavu serikalini na katika chama, itukane CDM.; na haribu mali za wanachadema; pia bambikizia kesi viongozi wake.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom