JUMBE ABDALLAH
Member
- Jun 15, 2013
- 22
- 5
Simba Na Yanga zinatufanya mashabiki vichwa vinatuuma sana emu we fikiria unasikia Azam wameleta basi la kisasa kabisa kwa ajili ya wachezaji na viongozi, unajiuliza kwa nini isiwe simba au yanga badala yake unasikia upuuzi huu, Simba wao kila kukicha migogoro juu ya uongozi wakati ata uwanja wa mazoezi wa kisasa timu aina, Yanga nako ni vituko timu inaongoza ligi kocha anatimuliwa, ahadi ya uwanja aileweki zimebaki porojo tuu kila kukicha, kwa kweli hizi timu zinaumiza vichwa.