Ukitaka kutambua nchi inayoendelea, soma:

Sijali

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2010
Posts
2,700
Reaction score
1,857
Baada ya vikwazo visivyo halali dhidi ya Iran, eti kwa sababu ya program yake ya nuklia, shirika la magari la Ufaransa, Peugeot lilivunja uhusiano wake na shirika la kutengeneza magari la Iran, Iran Khodro. Iran Khodro ilikuwa inahitajia asilimia 30 ya mali ghafi kutoka Ufaransa ili kuunda gari za Peugeot. Angalia sasa, miezi minane tu baada ya shirika la Ufaransa kujitoa, Iran inatengeneza miundo yote ya Peugeot 100% bila kuhitajia mali ghafi ya Ufaransa. Wakati huo huo, huko Ufaransa viwanda vya Peugeot vinakufa kwa kukosa mauzo ya Iran!

Yes, we can if we mean it!

[TABLE="width: 100%"]
[TR]
[TH="colspan: 2, align: left"][SIZE=+1]Iranian carmaker Iran Khodro says no longer dependent on Peugeot[/SIZE][/TH]
[/TR]
[TR]
[TD="colspan: 2"]Source: Tehran Times
Iranian carmaker Iran Khodro has reached self-sufficiency in manufacturing car parts which had been supplied by French Peugeot, the Fars News Agency reported.
Runa-Mass-Production-Iran-Khodro-21.jpg

Iranian made auto Runna made by Iran Khodro (IKCO) (file photo)​
Iran Khodro CEO Javad Najmeddin told Fars that after 23 years the company has managed to manufacture Peugeot 206 and Runna cars without the need to be supported by Peugeot.
Currently, the Iranian automotive industry exports products to around 40 countries, he noted.
On November 27, ISNA reported that several car companies in Iran have halted their production, which caused a decrease in the number of car brands in Iran.
Such car brands as Nissan, Peugeot (sedan and hatchback), Toyota for several reasons, stopped their car manufacturing in Iran several months ago.
Because French Peugeot Company and Iran Khodro stopped the co-operation, the manufacturing of Peugeot 206 in Iran has stopped. As for Nissan's Maxima brand, the giant car manufacturer from Japan halted its business in Iran after 11 years.
Meanwhile, Iran plans to manufacture at least three million cars by 2025 and export some one million sets, the Fars News Agency quoted Industry, Mine, and Trade Minister Mehdi Ghazanfari as saying on June 16.
"Some 1.6 million cars were manufactured in the past calendar year and 55,000 cars were exported," Ghazanfari said.
[/TD]
[/TR]
[/TABLE]
 
afterall sidhani kama kuna mtu anajiamini kununua Gari kutoka iran, ni sawa na kununua nyumbu za Tanzania. Nadhani south africa unaweza kununua. jambo zuri ni kuwa iran inajitegemea kuhusu ufaransa kushuka hiyo sio ishu kwani wazungu hawakuendelea kwa kuwategemea waarabu wala waafrika, na pia bado iran kama nchi nyingine za uarabuni ina-imitate tu technolojia ya wazungu na haijaweza ku-invent ya kwake especially hata umbo la gari ni kama haya ya wazungu tu. nadhani hata sisi waafrika ni bora kuliko waarabu mara mia moja tena ikiwa sisi waafrika hatutakaa na kuwa washabiki wa kuburuzwa akili zetu, tamaduni zetu, utu wetu, imani zetu tunaweza kuwa hatari kuliko jamii yoyote duniani kwa technolojia kama walivyofanya waeshia. kama ni watu watakaokuwa hatari ni waeshia-(asia) kama wachina, wahindi, wakorea, wajapan lakini waarabu wale mwishowe wataishia kujilipua tu.:mvutaji:
 
2013 am with u unajua Iran wanarpopaganda nyingi sna ingawa ni kweli wanatechnology inayotokana na kuiba invention za nje kwa mfano technology ya makombora wanacopy ya urusi hasa zile S300 SAM Missiles kama Kiwanda cha Jeshi Nyumbu TZ kikipewa fungu la kutosha research ya kuunda modern cars inafanyika na istoshe kuna magari na makombora yanazalishwa pale ispokua kwa kiasi kidogo sema waarabu wanajaribu kujicompare na westerners basi wanakesdha kutwa kupost mashindano
 
Moja ya historia yeyote ya ugunduzi/uvumbuzi ni Lazima u study theory za wenzako pia ili uweze kuja na chakwako.Lazima upate base.Ndio maana kuna shule, kama ilivyokuwa huwezi kukwepa mawazo ya awali ya wanasayansi na wavumbuzi waliokutangulia.Hata hao wachina ni mabingwa pia wa kukopi.

Pia ili Iran iendelee itahitaji ku croos border.Hakuna nchi inayoweza kujifungia ndani ya mipaka yake ikapata maendeleo.Kutokana Dunia Kutokuwa na uwiano resources na masoko baina ya nchi moja na nyingine,Mwingiliano wa mahitaji ya malighafi na bidhaa baina ya nchi moja na nyingine ni mambo yasioepukika.Globalization has made it.Global institutions like WTO has been playing a very good role to facilite the global business enviroment.
 
2013 am with u unajua Iran wanarpopaganda nyingi sna ingawa ni kweli wanatechnology inayotokana na kuiba invention za nje kwa mfano technology ya makombora wanacopy ya urusi hasa zile S300 SAM Missiles kama Kiwanda cha Jeshi Nyumbu TZ kikipewa fungu la kutosha research ya kuunda modern cars inafanyika na istoshe kuna magari na makombora yanazalishwa pale ispokua kwa kiasi kidogo sema waarabu wanajaribu kujicompare na westerners basi wanakesdha kutwa kupost mashindano
Kwanza kajifunze wa Iran sio warabu, ukisha jua hapo ndo utajua mengine.
 
Wewe ndo ujifunze hapa iran ni persian gulf ambapo zamani walikua wanajulikana kama persian empire kwenye Mkutano wa Muungano wa Mataifa za Kiarabu uliokaa mwaka jana kumsimamisha Uanachama Syria kule Saudia Ahmadnejad Rais wa Iran alipingwa kwa hatua yake ya kuiunga mkono Syria sasa ataitwaje kwenye Muungano wa Nchi za Kiarabu kama yeye sio mwarabu.. nisije nikawa napoteza nguvu kuongelea critical issues kumbe mtu mwenyewe ata Morogoro hupajui
 
dogo wacha kujifanya unajua soma ili ujue, kukubali hujui sio kosa.

Takusaidia ujue nchi ambazo ziko kwenye League of Arab States.

HISTORY
1942: The British start promoting the idea of unity of the Arab world, in an attempt to make them allies during the war against Germany.
1944 September- October: Official representatives from Egypt, Iraq, Lebanon, North Yemen, Saudi Arabia, Transjordan and Palestine meet in Alexandria, Egypt, and agrees to form the League of Arab States.
1945 March 22: A new meeting in Cairo ratifies the agreement. This day is considered the birth day of the league.
1950: The Joint Defence and Economic Cooperation Treaty (JDECT) is signed. The JDECT attempts at protecting the member-states against Israel.
1953: Libya becomes member.
1956: Sudan becomes member.
1958: Morocco and Tunisia become members.
- The Arab League is recognized by the United Nations, and becomes the UN's organization for education, science and culture in the Arab region.
1961: Kuwait becomes member.
1962: Algeria becomes member.
1964: The first summit takes place in Cairo.
- The Arab League Educational, Cultural and Scientific Organization (ALESCO) is established.
1967: South Yemen becomes member.
1971: Oman, Qatar and United Arab Emirates become members.
1973: Mauritania becomes member.
1974: Somalia and Palestine (represented by the PLO) become members.
1976: At the 8th Summit in Cairo, the league puts in an Arab peacekeeping force in Lebanon.
1977: Djibouti becomes member.
1979: Egypt is suspended, following their peace agreement with Israel. The headquarters were moved to Tunis, Tunisia.
1989: Egypt is readmitted into the league, and the headquarters moves back to Cairo.
1990: 12 out of 20 states present condemn the Iraqi invasion of Kuwait.
- A united Yemen becomes member.
1993: The Comoros become member.

Napenda pia kukufahamisha ili upate akili mara ya pili sio kupiga kelele tu, Comoros sio warabu ni wafrika, ila ni nchi ambayo imeruhusiwa kuingia katika League of Arab States.

Iran iko wapi?

Iran is not an Arab country....It is Persian :biggrin1:
 
afterall sidhani kama kuna mtu anajiamini kununua Gari kutoka iran, ni sawa na kununua nyumbu za Tanzania. Nadhani south africa unaweza kununua. jambo zuri ni kuwa iran inajitegemea kuhusu ufaransa kushuka hiyo sio ishu kwani wazungu hawakuendelea kwa kuwategemea waarabu wala waafrika, na pia bado iran kama nchi nyingine za uarabuni ina-imitate tu technolojia ya wazungu na haijaweza ku-invent ya kwake especially hata umbo la gari ni kama haya ya wazungu tu. nadhani hata sisi waafrika ni bora kuliko waarabu mara mia moja tena ikiwa sisi waafrika hatutakaa na kuwa washabiki wa kuburuzwa akili zetu, tamaduni zetu, utu wetu, imani zetu tunaweza kuwa hatari kuliko jamii yoyote duniani kwa technolojia kama walivyofanya waeshia. kama ni watu watakaokuwa hatari ni waeshia-(asia) kama wachina, wahindi, wakorea, wajapan lakini waarabu wale mwishowe wataishia kujilipua tu.:mvutaji:

Sentensi yako ya mwisho ndo nimekuelewa kwa nini hukupenda kuappreciate juhudi za Wairan !
 
Asante kwa kunisaidia kumwelewesha huyu jamaa ambaye dhahiri ni jahili Murakkab (hajui na hajui kuwa hajui). Hajui kuwa magari yaliyotengenezwa Iran kama hiyo katika picha yanauzwa Urusi, Belarus, Ukraine, Switzerland, Senegal, Turkey na nchi nyingi nyinginezo. Ila chuki pamoja na ujinga humfanya mtu asione wala kusikia.
 
Kwanza kajifunze wa Iran sio warabu, ukisha jua hapo ndo utajua mengine.
Ni waarabu lakini wanajikweza na hawataki kuitwa waarabu wanajiita Persians. Mwarabu ni mwarabu tu awe from Persian gulf ama atoke Red Sea ama hata Benghazi bado ni mwarabu
 
afterall sidhani kama kuna mtu anajiamini kununua Gari kutoka iran, ni sawa na kununua nyumbu za Tanzania. Nadhani south africa unaweza kununua. jambo zuri ni kuwa iran inajitegemea kuhusu ufaransa kushuka hiyo sio ishu kwani wazungu hawakuendelea kwa kuwategemea waarabu wala waafrika, na pia bado iran kama nchi nyingine za uarabuni ina-imitate tu technolojia ya wazungu na haijaweza ku-invent ya kwake especially hata umbo la gari ni kama haya ya wazungu tu. nadhani hata sisi waafrika ni bora kuliko waarabu mara mia moja tena ikiwa sisi waafrika hatutakaa na kuwa washabiki wa kuburuzwa akili zetu, tamaduni zetu, utu wetu, imani zetu tunaweza kuwa hatari kuliko jamii yoyote duniani kwa technolojia kama walivyofanya waeshia. kama ni watu watakaokuwa hatari ni waeshia-(asia) kama wachina, wahindi, wakorea, wajapan lakini waarabu wale mwishowe wataishia kujilipua tu.:mvutaji:
Hapo umenena mkuu!
 
sisi hatuaangalii hiyo migari ila tunataka pia technologia ya kilimo. Hawa jamaa ni ugali kwa bamia tuu, hawana lolote bali ni chuki na wivu kwa christian states and jews people.wewe ungenunue hilo gari halafu ulisifie ukiwa nalo na siyo kutuletea picha halafu unalisifia umbo! how old are theee?
 
Eti sawa na nyumbu za tanzania! Usiwe boya.kwa taarifa yako tanzania hata toothpick tuna import hatutengenezi wenyewe!
 
Ni kweli mkuu, ila nataka kukumbusha kwamba Wairan si Waarabu ni wa Persia na hawazungumzi Kiarabu, lugha yao ni FARSI; kitu kingine michoro karibu yote ya jinsi gari litakavyo onekena baada ya kuhundwa wahusika wakuu wa michoro ni Waitaliano specifically kampuni ya Sergio Pininfarina (R.I.P).
 
Eti sawa na nyumbu za tanzania! Usiwe boya.kwa taarifa yako tanzania hata toothpick tuna import hatutengenezi wenyewe!

Mkuu Wachina wapo hapa hapa DAR wanategeneza toothpick na furniture wanatumalizia miembe yetu kwa kuwatuma waswahili wasio na uzalendo kuikata na kuwapelekea magogo si miembe tu na mitini mingine!!

Ukienda kwao Uchina wanajuwa sana kutunza mazingira, lakini wakija kwetu wanakata miti kwa fujo wakishirikiana na baadhi ya viongozi wasio waaminifu - ni janga kweli kweli.

Tusijidanganye Wairan wame endelea sana kiufundi na kitekinolojia mtu uwezi kuwa beza beza ovyo, hata Waisrael na Wamerikani wanalijuwa sana hilo.
 
sisi hatuaangalii hiyo migari ila tunataka pia technologia ya kilimo. Hawa jamaa ni ugali kwa bamia tuu, hawana lolote bali ni chuki na wivu kwa christian states and jews people.wewe ungenunue hilo gari halafu ulisifie ukiwa nalo na siyo kutuletea picha halafu unalisifia umbo! how old are theee?

Mkuu tatizo ni nini hasa? Mimi nilifikili tunazungumzia mambo ya sayansi na teknolojia - sidhani hayo yana uhusiano wowote na DINI au itikadi za vyama - Samahani lakini. Kitu kingine mbona Wairan wamatuletea matrekta ya kulimia.
 
Back
Top Bottom