Ukitaka kutambua nchi inayoendelea, soma:

Ukitaka kutambua nchi inayoendelea, soma:

Mkuu Wachina wapo hapa hapa DAR wanategeneza toothpick na furniture wanatumalizia miembe yetu kwa kuwatuma waswahili wasio na uzalendo kuikata na kuwapelekea magogo si miembe tu na mitini mingine!!

Ukienda kwao Uchina wanajuwa sana kutunza mazingira, lakini wakija kwetu wanakata miti kwa fujo wakishirikiana na baadhi ya viongozi wasio waaminifu - ni janga kweli kweli.

Tusijidanganye Wairan wame endelea sana kiufundi na kitekinolojia mtu uwezi kuwa beza beza ovyo, hata Waisrael na Wamerikani wanalijuwa sana hilo.

Kweli kabisa
 
kwa Lugha ya JF tunaposema waarabu tuna maana nchi mwanachama wa OIC!

Kwa mantiki hiyo Waganda ni Waarabu. Watu wengine bana....si mwende shule kwanza kabla ya....
 
Back
Top Bottom