Ukitaka kumuwin mwanamke yeyote chukua code hizi

Labda upate wakuja wasiojua kuoga. Ulimbo wa kumkamata mwanamke ni pesa.

Mapenzi yamekuwa biashara.
 
Ndo paroko alivyo kufundisha?
 
Akiruka kwenye hela, mwambie utampa simu Kali hapo hawachomoki, mwambie tu lini utakua free ukaxhague simu Kali, kwishaaaaaaaaaaaaaaaaaa
 
Watoto wa 2000 mnaamini sana kwenye mitongozo ya simu. Sisi wakubwa zenu enzi hizo tulitumia mbinu hatarishi sana kwenye kutongoza.
 
Wanafunzi wa mapenzi itawajua! Wahi shule kuna pre-form five ujue
 
Umalaya tu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…