Hii nilikuwa naitumiaga nikiona pisi ya maana Fb naifata inbox nataja dau tu.Sa hivi nina kiasi fulani nataka nikut*mbe au lugha yoyote nzuri utakayoona inafaa nenda straight mademu wenyewe wanawinda siku hizi, nyege zimekuwa nyingi sanaaa
Eenhe mapema tuuHii nilikuwa naitumiaga nikiona pisi ya maana Fb naifata inbox nataja dau tu.
Ni ukweli haziruki chapaa
Yeaaahhh..!! Typically, romantically, physically..!!pisi kaliiii
Hii niliwahi kuitumia kipindi fulani kwenye bodaboda ya kuchangia.Sa hivi nina kiasi fulani nataka nikut*mbe au lugha yoyote nzuri utakayoona inafaa nenda straight mademu wenyewe wanawinda siku hizi, nyege zimekuwa nyingi sanaaa
Hiyo sasa mishangazi na barmaidsSa hivi nina kiasi fulani nataka nikut*mbe au lugha yoyote nzuri utakayoona inafaa nenda straight mademu wenyewe wanawinda siku hizi, nyege zimekuwa nyingi sanaaa
HaaaaaaaaaahMke mwema ninae Mimi peke yang u Tanzania nzima ukimpa hela anauliza yanini
Mkuu shikamoo vipi sijakuona kwa waziri mkuu leo mi tayari nilishatuma ujumbewe binti hujambo 🐒
Haijalishi demu ni sister duu, pisi kali, mshangazi au hata mwanafunziHiyo sasa mishangazi na barmaids
Hapa unatongoza wa kuoa au wa kujiserviaSasa demu unataka kupiga na kusema, uanze kujisumbua kutongoza ya nini?
Mara maua, mara kupigiana simu mara vi text vya umekula??
Huoni kama hapo unatengeneza mazingira ya gharama zisizo za lazima??
Otherwise labda kama unatongoza wa kuoa.
Unaweza kuwa nazo lakini ukawa kama Nick wa piliNilitaka niseme huyu karuka fence kumbe shule zimefungwa. Tafuta hela wenyewe watakutongoza bro yaani ukiwa na mshiko unamwambia tu twende tukanywe soda pale mambo tayari
hahaah,Yeaaahhh..!! Typically, romantically, physically..!!
Malizia na cally zingine 😹😹😹
labda kama mashne haistart ndugu. Na kwanza madem wa siku hizi hawataki mtu wa kuwatongoza na maneno makavu sio kama zamani mtoto wa kike alikuwa anaimbishwa njiani anachimba shimo la kuangusha walevi njiani tena kwa kutumia kijiti tu shimo futi 3. Wa sku hizi unamuuliza tu kuwa kweli unavaa chupi yeye anakujibu twende uone mwenyewe mambo kwisha.Unaweza kuwa nazo lakini ukawa kama Nick wa pili
... pole sana! ... Suzzie wa Gen-Z atakuambia hana simu, na hata hiyo unayomuona nayo kaazima kwa shangazi na ameweka laini yake kwa muda tu! ... haya jifanye mwamba ununue simu igeuke 'launcher' ya hypersonic missiles ikiwa ni pamoja na ile ya 'ninatakiwa kulipia pango la mwaka mzima'! .......!Usiku mwema wadau.....Leo nimeona niwape siri mojawapo ya kuwawin hawa viumbe. Kwa maligendary hii haiwahusu sana labda muongeze maarifa tu.
Yafuatayo ni mazungumzo kati ya Jimmy na Suzzy (mfano)
Hayae twende sawa;
Jimmy: Mambo vipi mrembo
Suzzy: Safi tu Jimmy uko poa
Jimmy: Niko poa tu mrembo
Suzzy; Basi fresh
Jimmy: Mrembo samahani kuna jambo nawiwa nikwambie ila moyo unasita nahisi kama nitakukwaza
Suzzy; Jambo gani tena hilo Jimmy ujue we mchokozi
Jimmy; Yaani Suzzy ujue nilivokuona tu nimetokea kuvutiwa sana na wewe
Suzzy; Jamani kwa kipi tena mbona kawaida
Jimmy; Kiukweli umeumbika kinoma yaani I wish ningekuona mapema yani kwa uzuri ulionao huwezi fanana na yeyote
Suzzy; Ahsante
Jimmy: Natamani tuongee zaidi ya hapa unaweza nipa namba yako kama hutojali
Suzzy; Hayae 0769XXXXX8
Jimmy; Ahsante Suzzy
Baada ya hapo ukifika home mpigie mara moja au mtext tu kumjulia hali halafu mkaushie mkaushie kaushia mkaushie mkaushie na ujikeep buzy wanawake wanapenda wanaumee strong wanaoweza kucontrol hisia zao. Usimshobokee sana tulizana tu.
Mbinu hii inaitwa resilient trick
Yaani asipokukubali aisee jiite mbwa koko.
Utataka kumuua Mzee na presha kisukari?
Utasimamishwa na kila mwanamke na kukuomba ukampigie mashineHakikisha una PESA ambazo zinaweza zikapandisha Aura yako