Hahaha nilikuwa na rafiki yangu mtu wa kigoma ,,,Muha ni mbishi hatari…ni mtu wa Mungu sana… alikuwa ananipa story za kwao uko kigoma walikuwa wana dawa ambazo wakizipaka wanamkamata nyoka tena koboko kwa mkono na analegea na pia anasema kwao wachawi huwa hawakatizi maana ndugu zake wana dawa za kuwaona wachawi na kuwashika….
Huyu jamaa nilimuogopa sana na alikuwa room mate alikuwa anaweza kukuamsha usiku wa manane kukwambia kuna mchawi anataka kumshika….yaani alinichanganya sana na alikuwa anasema ameokoka na unamkuta ana sali!
Watu wa Kigoma wengi wao wanapenda sana ushirikina sana sana …
Lakini kama unampenda usijali kabisa olewa tuu sio kila mtu ni mshirikina