Colonel McCoy
JF-Expert Member
- Aug 15, 2023
- 313
- 616
MfanoNabii huwezi muona au kumjua kwa macho yako ya nyama...
Nabii utaweza kumjua kwa macho ya Rohoni,...
Wengi wanapinga Manabii sababu tu ya like neno watakuja Manabii wa uongo, lakini pia wapo waliokuja wa kweli...
Kufanya chochote kile??!!, Kwangu mimi sio kweli. Hata kama napenda sana Huwa nina mipaka yangu. Siwezi kufanya kila kitu.Wewe Umeolewa?
Ukoo, Kiroho, Kimwili .!! Mwanaume kabisa umchunguze kwenye ayo maeneo?
mwanaume mwenye malengo nawewe yupo radhi kukufanyia chochote ilimradi ubaki kwenye himaya yake[kama ni umalaya atapunguza, kama ni kusali ataanza, n.k]. sasa ukijitia ujuaji wa kumchunguza tu umeisha.
Kuhani Musa..Mfano
Unaweza nipa jina la nabii wa kweli kwq mujibu wa maoni yako?
Umchunguze ili iweje?
Au unatafuta red flag umpige chini?
Uko tayari na wewe akuchunguze akikukuta na red flag yoyote akupige chini?
Inapaswa iwe hivo, mengine achana nayonachojua ni yeye tu anachoniambia vingine sivijui
Kama n yule aliekataliwa na bradheri yako jipe muda wa kujua zaidi kabla hujayakanyaga
Inapaswa iwe hivo, mengine achana nayo
Basi kila la heriMmh brother angu ana yake tu mpk sasa hana point ni blabla za makabila
Ni kumuomba Muumba tu.Chunguza tena nasema chunguza...
Sio Kila ukoo inafaa kuoa au kuolewa...
Chunguza kiroho na kimwili...
Funga siku 40 na utoe sadaka ,utapata majibu. Maana ni jambo kubwa hilo.Mwal naomba mbinu
😁😁 Certified Hater
3 kavu nitatoboa kufunga, ama novena ya siku 9.Funga siku 40 na utoe sadaka ,utapata majibu. Maana ni jambo kubwa hilo.
Mengine naomba nikushauri PM kama utakubali mwl Nisogelee?.
Mungu ni mwema Safari moja ikatengeneze Safari Zingine sasa3 kavu nitatoboa kufunga, ama novena ya siku 9.
Nimekubali kushaurika huko PM, karibu mwalimu ☺️
ShwaaaaaaMungu ni mwema Safari moja ikatengeneze Safari Zingine sasa
Naomba nikuulize swali mamamzungu una uhakika gani kama anataka kukuoa?