Ukitaka kulifaidi penzi......lol!

Rutashubanyuma

JF-Expert Member
Sep 24, 2010
219,470
911,173
waswahili husema majuto ni mjukuu...hili ni kweli kabisa.......

utafiti wangu umebaini yafuatayo:-

1) Mapenzi hayana subira................ukishikwa shikamana.............kwa sababu chelea chelea utakuta umekatwa bogi.....

2) wengi hawafaidi penzi kwa sababu ya khofu...................na khofu hii huchukua sura nyingi zikiwemo:-

a) Khofu ya kumwagwa......hususani baada ya tunda kuliwa...............you deeply feel you need to protect whatever is left of your reputation...........if any...........and in most cases there is too little of it to qualify for anything........

b) khofu ya magonjwa ukizingatia penzi hupimwa kwa shamrashamra za pekupeku...........mtazamo ni kuwa asiyeitaka basi hakupendi kwa sababu hakuamini..........akuhisi vibaya ya kuwa wewe mwingi wakati umejikalia kimya mwenyewe........if it is really true...............and I have some serious doubts on that assertion......... particularly in this wicked generation........

c) khofu ya historia ya mtarajiwa........................in particular a bad boy image................ambayo huibuliwa kutoka katika yale yanayohisiwa aliyafanya au/na yaweza kuwa kweli aliyafanya na hivyo kudhani historia huenda ikajirudia yenyewe.............khofu hapo ni kuwa hutaki kuwa sehemu ya hizo takwimu zake.......bad statistics.......................from a very negative, onesided report.

d) khofu ya kutojua malengo yake dhidi yako..........kwa hiyo unam'mwagia vumbi badala ya kujihakikishia mwenyewe analenga nini kwako................................kwani hata waswahili husema "usiandikie mate na hali wino upo........."

3) Kusahau ya kuwa wakati unampima mwenzio kwa vipimo uvijuavyo wewe hivyo vipimo hujipimi mwenyewe.....na hivyo kukamilisha usemi usemao......."nyani haoni kundule............"...laiti ungelivitumia vipimo tajwa na kujitathmini wewe mwenyewe ungeligundua.......................nyote ni kundi moja...........hakuna mwenye mikono misafi hata chembe................................

4)...............................jazilizeni nanyi, nisimalize uhondo.............

kwa maoni yangu kama hisia zako zinakutuma kuwa huyo umempenda jitose...............kwani utamu wa penzi....................is to love without fear of the unknown tinted by presumptuous speculations......................................weekend njema 4 all of u................
 
Mi hofu siku hizi nimekua sina kwa sababu wanaume ni walewale sa kwa hyo niishi kwa shida kisa atanimwaga cjui nini wala,yaani nilikuja kugundua unaweza ukajipa shida ukamtreat m2 kama mfalme malipo yake sasa du,so hofu zipo kwa watoto katika mapenzi Ruta,nachojua kama ni wangu ni wangu 2 hata niwe ka tembo halafu everything that happens happen for a reason,
 
Ukitaka kuenjoy another point be yourself in any relationship dont try to be black while your white,and be free,
 
hapo kwenye nyekundu nimepakubali kwa asilimia zote..............
 
sina hofu mie. Napenda najiachia nae. Kama hisia zake kwangu zimeisha si basi natafuta ustaarabu,na kwangu nikiwa simfeel tena namwambia ya nini kupotezeana muda. Maisha mafupi hofu ya nini wakati wote mmekutana na meno 32?
 
Ukitaka kuenjoy another point be yourself in any relationship dont try to be black while your white,and be free,

hii sikubali kwa sababu yaweza kumaanisha ya kuwa uwe mowga kufaya maamuzi na hivyo kuhalalisha maamuzi yasiyo bora........kwako...........lolote ulifanyalo.....make sure you do the right thing.......
 
sina hofu mie. Napenda najiachia nae. Kama hisia zake kwangu zimeisha si basi natafuta ustaarabu,na kwangu nikiwa simfeel tena namwambia ya nini kupotezeana muda. Maisha mafupi hofu ya nini wakati wote mmekutana na meno 32?

yaani wote wangelikuwa kama wewe............sote tungelifaidi maisha...............katiak penzi...................wengi khofu na mahesabu yasiyo na majawabu yanachangia kutunyima furaha ndani ya penzi..........
 
hilo nila kweli waliowengi wanaishi kwa hofu hasa katika maisha ya mahusiano hii ni kutokana nakuwa waliowengi ni waongo...
 
hilo nila kweli waliowengi wanaishi kwa hofu hasa katika maisha ya mahusiano hii ni kutokana nakuwa waliowengi ni waongo...

namna ya kumkabili muongo ni kumnyima mashine mpaka aji-comit.......................ila mbinu ya kumkimbia huku hujajua alilonalo moyoni nayo ina utata wa kukuacha na maswali mengi ya hvi ni kweli hizi hisia zangu au la?.....sasa ukimtanulia miguu yako huku una mashaka mashaka.....................mashaka yako yanapokuja kuthibitika.........................ndipo inapokuwa kazi ya mshikemshike........................na kimasomaso cha papo kwa hapo...........
 
Wapo wenye mikono safi.

wenye nayo ni wachache mno na wengi wao ni wazito kuwahukumu wenzao.....................mara nyingi hufikiri jamii bado ni safi kama wao kwa hiyo hawana mashaka mashaka sana hadi pale yanapowakuta ndiyo hufumbuka macho......
 
Nachelea kukubaliana na wewe moja kwa moja maana najua wenye nayo ni watu wanaojitanbua hivyo wanajua yofauti yao na wale ambao sio kama wao. Ila inawezekana wapo ambao bado wanadanganyika kama sio kujidanganya.
 
busara za Jeremiah 17:5 zisemazo "The human heart is deceitful above all things, and desperately wicked, Who can Know it?"
zinaniongoza kusema ya kuwa moyo wa mwanadamu siyo rahisi kuusoma....................kwa hiyo ni rahisi sana kuhisi ulivyo wengi ndivyo walivyo hadi pale utapokutana na mambo tofauti na matarajio..........hata siku moja usidhani waufahamu moyo wa mwanadamu kwa sababu nilizozitoa awali........hata Muumba hukiri kuwa kazi kubwa aliyonayo ya kumfahamu mwanadamu na malengo yake ni katika kuusoma na kuutafakari anachofikiri moyoni mwa kiumbe chake........kwa hiyo kuwafahamu wengine ni kitendawili na ndiyo maana ni rahisi sote kutumbukia katika mashimo makubwa na madogo kwa kuzingatia kauli na matendo ya mwanadamu tukifikiri tumeusoma moyo wake na kuuelewa......................kumbe la hasha ilikuwa ni chenga ya kimwili tu..........
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom