Jembemtaji
JF-Expert Member
- Aug 21, 2014
- 1,192
- 929
Ona hii video
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]Aione shangazi yangu kapeaceOna hii videoView attachment 1116880
Hiyo inaitwa KULA ULIWE Haaaaa!!Hahahaha wahuni sana nyie
Kajike kamenifurahisha sana kamekula kasamaki ndio kakategesha mkia huuhuhuuuù
Hiyo inaitwa KULA ULIWE Haaaaa!!
Hivi kametegeshea mkia au kiuno?Hahahaha wahuni sana nyie
Kajike kamenifurahisha sana kamekula kasamaki ndio kakategesha mkia huuhuhuuuù
Hivi kametegeshea mkia au kiuno?
Ndo mtupe mahela muache kulia humu
Mimi mahela nitakupa tu shangazi wangu.
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Umesha sahahu! Rudi kwenye notice za nyuma.Huo ushangazi viiiiipiiiii
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] Umesha sahahu! Rudi kwenye notice za nyuma.
Mi msahaulifu sana hebu niletee hizo notice nijikumbushie
hivi ni kwanini mwanamke hata awe na pesa,kaajiliwa bado ataomba tu hela tena ya vocha ?Ndo mtupe mahela muache kulia humu
Hujamuona ndege hapo!!! Ni nature tuhivi ni kwanini mwanamke hata awe na pesa,kaajiliwa bado ataomba tu hela tena ya vocha ?
Mimi mtani wako bhana, relax.
Kumbe mtani wangu ndo maana unadeeeka