Ukitaka kujua uchumi wetu umeshuka kweli ni rahisi tu

Rais wenu kachemsha kwenye uchumi fullstop.
Kuongoza taifa siyo rahisi kama kupiga press up.. angeishia kwenye kuuvuruga uchumi tu ingekuwa angalau, lkn sasa hata roho anazivuna ktk jina la wasio julikana!!!
 
Sasa mbona hujataja vigezo vinavyoonyesha uchumi umeshuka? Hivi mishahara ilipoongezwa wakati wa JK kulikuwa na mabadiliko gani kama si bidhaa kupanda na kusababisha maisha kuwa magumu zaidi? Acheni na watanzania wasiolipwa mishahara nao wafaidike kwa kuboreshewa miundombinu ya kuboresha maisha yao na muache wivu usio na tija
 
Watu kama wewe ndio mmejaa hapa Tz na ndio chanzo cha matatizo,utakuta hata Mpira wewe unashabikua ligi ya nyumbani!
Mungu ibariki Tz watu wengi wapo gizani...no exposure...no education...


Yes, God bless Tanzania na watanzania wote tulio na msimamo. Pole kwa kujichukia, si kosa lako kwani ipo siku utajitambua tu when it's too late for your damb ass.
 
Manifestations nyingi Tu mtaani,zamani hata ulikuwa ukitoa godoro nje kuanika kunguni wajomba washafika kuchumbia chumba,siku hizi hata miezi miwili wapangaji hamna
 
Back
Top Bottom