eden kimario
JF-Expert Member
- Jun 13, 2015
- 10,227
- 16,178
Ndugu zangu watanzania natanguliza shukrani zangu kwenu kwa kuendelea kuwa wavumilivu hasa kwa aina ya serikali tuliyonayo sasa
Kabla ya rais Magufuli kuingia madarakani uchumi wetu ulikuwa unakuwa kwa asilimia karibu saba
Lakini miaka minne sasa akiwa madarakani kwa mujibu wa wanaofuatilia uchumi wa kila nchi duniani wanasema uchumi wetu kwa sasa unmeshuka mpaka asilimia NNE
Juzi kwenye siku ya wafanyakazi duniani rais Magufuli alituthibitishia kuwa ni kweli uchumi umeshuka kwa kiwango cha lami, pale aliposema tena hawezi kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wa serikali, ikiwa ni Mara ya NNE akisikika akisema hivyo toka aingie madarakani
Hivi kweli kama uchumi wetu unakuwa kwa asilimia 7 na zaidi, kama alivyosikika Magufuli akisema anashindwa nini kuongeza mishahara kwa wafanyakazi wa serikali ???
Kamwe tusiongopewe watanzania kwamba eti miradi mikubwa ndio inasababisha mishahara isiongezwe,!! ina maana awamu hii tu ndio kuna miradi mikubwa???
Serikali inasema haiwezi kuwaambia wananchi ukweli wa uchumi wake,
basi ni rahisi tu kujua uchumi umeshuka kwa kushindwa kuongeza mishahara kwa miaka minne sasa
Serikali iache kutuongopea kwamba uchumi unakuwa kwa asilimia saba, huku ikishindwa kuwaongezea mishahara wafanyakazi wake
Hali hii ya uchumi inapelekea pia sekta binafsi kuzorota mno katika nchi na hili hakuna aseyelijua kwamba sekta binafsi zinakufa na zinaendelea kufa
Tuambieni ukweli ili tujue sio kutuongopea kulinda madaraka yenu