Ukitaka kujua penzi lako limechacha

Mr mgeni

JF-Expert Member
Joined
Apr 27, 2014
Posts
1,222
Reaction score
812
Habari zenu,

kwa wadada walio kwenye ndoa, ukitaka kujua penzi lako si kitu tena kwa mwenzi wako, muandikie ujumbe huu sasa hivi bila kujali upo wap/yupo wp na anafanya nini,muandikie hivi then mtext

"Ninakupenda mume wangu"

atakachokujibu utaniambia.
 
Eeeeh eti wife amenijibu.. Asante!!! Kiruuuuu
 
Lazima kuna majibu yatakuwa hivi!
-Unataka hela sio!
-Kuna kosa umefanya sio, ngoja nirudi!

Nahisi kuna ndoa nyingi sana zinasurvive kwa sababu ya watoto tu bhaasi! Kwenye vigezo vingine zinapumulia mashine!
 
Amenijibu,na mimi nakupenda mke wangu kuliko kitu chochote hapa duniani
 
Daaah hapo unajibu fasta "Tarehe mbaya hizi" mshahara haujatoka
 
Nimejibiwa nakupenda pia honey wangu!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…