Ukitaka kujua nguvu ya CHADEMA fuatilia Kampeni za CCM

Allen Kilewella

JF-Expert Member
Joined
Sep 30, 2011
Posts
25,146
Reaction score
48,388
Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao halisi ni CHADEMA.

Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye mikutano yao, utaona CHADEMA kumbe Ina nguvu kuliko CCM.

Fikiria chama kilichozuiwa kabisa kufanya siasa huku Mwenyekiti wake akiwa Gerezani, lakini CCM bado wanajilinganisha nacho.

Jee uwanja wa kufanya siasa ungekuwa sawa bila ya mauzauza ya Tume ya uchaguzi na matumizi ya hovyo ya vyombo vya dola, hali ingekuwaje?

CCM imekuwa dhaifu sana huku CHADEMA ikiwa imara zaidi kuliko tulikotoka kisiasa.
 
Iwe ni moja kwa moja ama kwa mafumbo, utagundua kuwa ingawa CCM imo kwenye uchaguzi inashindana na vyama vingine, lakini wana CCM wenyewe wanajua msindani wao ni CHADEMA.

Fuatilia hotuba zao na jitihada wanazofanya ionekane mgombea wao anapendwa kwa kusomba watu na kupeleka kwenye mikutano yao, utaona CHADEMA kumbe Ina nguvu kuliko CCM.

Fikiria chama kilichozuiwa kabisa kufanya siasa huku Mwenyekiti wake akiwa Gerezani, lakini CCM bado wanajilinganisha nacho.

Jee uwanja wa kufanya siasa ungekuwa sawa bila ya mauzauza ya Tume ya uchaguzi na matumizi ya hovyo ya vyombo vya dola, hali ingekuwaje?

CCM imekuwa dhaifu sana huku CHADEMA ikiwa imara zaidi kuliko tulikotoka kisiasa.
Kwani CCM imeanza kusafirisha watu wao Leo?
 
Screenshot_20250613-122647~2.png
 
Kwa udhaifu wa mgombea wa ccm ni sawa kabisa chadema kutoshindana naye, hawezi kutoa hotuba bila kusoma kijikaratasi alichoandaliwa!.
 
Back
Top Bottom