LICHADI
JF-Expert Member
- Feb 4, 2015
- 4,282
- 11,629
Kuna watu huwa wanajizarau kuwa Bongo bahati Mbaya ila huwa nacheka tu, ila hawajui sehem inaitwa INDIA au Wahindi
Moja kati ya watu wa hovyo linapokuja swala la biashara ni Wahindi Mhindi ni mtu bahili Duniani kuliko mtu yoyote yaani ukikaa mtaa wa wahindi utafunga biashara utaondoka majamaa huwa hawana hata aibu
Mi nauza nguo Kariakoo bei ya jumla 13,000@Tshrt anakuja muhundi anauliza bei unamwambia jumla 13,000 anakwambia sawa Babaa, mitalipa moja fanyie mimi alfu kumi baba, unamwanbia bei ya jumla haishuki, na sio nguo moja haelewi anaenda kwingine
Mwingine kaja Dukani kiatu jumla cha ngozi 75000, anasema sawa kanichukulie store unamtuma kijana gorofa ya 8 anakileta anakitest alafu anageuka anasema mi talipa 60,000 babaa, yaani natamanigi kuwatandika makofi wale watu aisee hapana, Dukani kwangu akija Muhindi huwa masemaga tu hamna ili aondoke wengi ni tia maji tia maji,wale watu ni bahili sijawahi ona
Alafu Muhindi akienda kwenye biashara ya Muhindi mwenzake anakuwa na heshima akija kwa Mswahili ndio huwa wanaleta uhuni wale watu kaa mbali nao kabisa
Nashukuru sana watanzania wenzangu,Wacongo,Wazimbabwe Wamalawi aisee bila nyie tungefilisika