Ukitaka kuishi kwa amani usiyachukulie maisha kwa uzito sana

The ghost writer

Senior Member
Apr 5, 2023
179
263
Yeah! Unakuta mtu analalamika maisha magumu, mambo yake hayaendi. Why? Kila mtu alipewa maisha ambayo ni juu yetu sisi kuyafanya yawe magumu au rahisi.

Maisha ni jinsi vile unavyofikiria kwenye akili yako ukiwa unafikiria ugumu wa maisha ndio hivo hivo maisha yako yatakuwa magumu kwa kadri unavyofikiria.

Unachotakiwa kupaswa kufanya ni kutokuwa seriously na haya maisha, jaribu kuwa na free mind and positive mind because life is too short to be discouraged you have to keep move, keep going, put the foots infront of other.

Just keep smile and keep rolling.

#Get_me_on_the_touch!
 
Yaani hapa nasoma huu uzi mpaka nashangaa..kuna rafiki yng amefariki wakati maisha ndio yamekubali..amepambana muda mwingine halal hadi usiku..leo amefanikiwa anakufa ghafla tu km kuku ana mdondo daaahh
Pole sana kaka! Ndio maisha jinsi yalivyo tunapambania vitu ambavyo hatutazikwa navyo.
 
Yeah! Unakuta mtu analalamika maisha magumu, mambo yake hayaendi. Why? Kila mtu alipewa maisha ambayo ni juu yetu sisi kuyafanya yawe magumu au rahisi.

Maisha ni jinsi vile unavyofikiria kwenye akili yako ukiwa unafikiria ugumu wa maisha ndio hivo hivo maisha yako yatakuwa magumu kwa kadri unavyofikiria.

Unachotakiwa kupaswa kufanya ni kutokuwa seriously na haya maisha, jaribu kuwa na free mind and positive mind because life is too short to be discouraged you have to keep move, keep going, put the foots infront of other.

Just keep smile and keep rolling.

#Get_me_on_the_touch!
Nakazia...
 
move - moving
mleta mada kuna namna kwenye maisha hazijakukuta utaona kama umefika mwisho.
usichukulie maisha serious wakati huna hata mia na hujui unaipataje, hujala?
Unakosaje mia au hata hela ya kula pia unakosaje kwa mfano!! Kwa dunia ya sasa ambapo kumekuwa na mwingiliano mkubwa wa watu because of globalization unashindwa hata kufanya business ikuingizie pesa tatizo lenu mmekuwa too lazy to think out of the box kutwa mnakaa kijiweni mnajadiliana shida zenu
 
Nikataka nishangae
Umejikaza umeweka vocha ka buku.. unataka ukatumie kuja kulia lia humu, af ukimaliza unarudi kwenye shida zako za kulala mlango wazi 🤣
🤣🤣🤣🤣
Em lala
 
Back
Top Bottom