Mkuu wewe unachozungumzia ni kwa yule ambae tayari ana mtaji wake.Sasa mimi nasema hivi, ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, Usilime wala Kulimisha!
Wewe subiria wanaolima walime, wanaolimisha walimishe, wewe subiri mazao uyanunue. Tofauti na hapo ni ziro!
Wewe unazungumzia kesi tofauti.Sasa mimi nasema hivi, ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, Usilime wala Kulimisha!
Wewe subiria wanaolima walime, wanaolimisha walimishe, wewe subiri mazao uyanunue. Tofauti na hapo ni ziro!
Ukweli ni kwamba ukianza kwenye kilimo utapata pesa ya kula wewe na mazao ya kula wewe mwenyewe tu.Mkuu hebu fikiria kama unaanza utalimishaje?
Hata ningesema hivyo basi angetokea mtu angenambia "nafikiri ungsesema ili ufamikiwe usilime bali limisha"Nafikiri ungesema ili ufanikiwe kwenye kilimo inabidi ulime kilimo cha kisasa in large scale.
Wengi wanaofeli wanalimisha. Wako mjini wanatuma hela watu wawalimie, kulimisha sio suluhisho.Hata ningesema hivyo basi angetokea mtu angenambia "nafikiri ungsesema ili ufamikiwe usilime bali limisha"
Sasa nadhani imekuwa vizuri kama umefahamu makusudio Mkuu....
Sasa mimi nasema hivi, ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, Usilime wala Kulimisha!
Wewe subiria wanaolima walime, wanaolimisha walimishe, wewe subiri mazao uyanunue. Tofauti na hapo ni ziro!
Wekataa mkuu..Acha kukatisha watu tamaa mkuu kama we umeshindwa ni wewe tu mbona wapo wengi tu wamefanikiwa wana maisha safi kabisa nina mashaka we umekulia mjini hata jembe hujui kushika
Sasa kashamba ka heka moja ambacho ungeweza kulima mwenyewe unataka uajiri mtu akulimie unategemea nini mkuu??Wengi wanaofeli wanalimisha. Wako mjini wanatuma hela watu wawalimie, kulimisha sio suluhisho.
Sawa.Sasa kashamba ka heka moja ambacho ungeweza kulima mwenyewe unataka uajiri mtu akulimie unategemea nini mkuu??
Shamba dogo ni kwa ajili yakulima mwenyewe, na shamba kubwa ni kwa ajili ya kulimisha.
Wanaolimisha watu wana mikakati mzuri na wana maeneo ya kutosha na kuna usimamizi mzuri wa ulimishaji, mtu anakuwa siriaz kwenye ajira yake ya kulima shamba lako.
Nenda kule Mbarali kwenye kilimo cha mpunga ukujionee vijana wanavyopiga mabao kwa kuanza kulima ye mwenyewe na mwisho wa siku anakua boss.Ukweli ni kwamba ukianza kwenye kilimo utapata pesa ya kula wewe na mazao ya kula wewe mwenyewe tu.
Mtu anayeanza hawezi kuanzisha mradi ungine kwa pesa inayotokana na kilimo. Yani mtu anayeanza apate pesa za mavuno alafu aseme ananunua bodaboda...? Hahahha haiwezekani.
Kwa sababu mtu anayeanza kilimo manake anaanza kipato. Anayeanza kilimo ataendelea kupata mazao na faida kwa ajili yake na kuishi mwenyewe tu, lakini hatokuwa na uwezo kutoa Mradi ungine kutokana na kilimooo
Kilimo cha simuWengi wanaofeli wanalimisha. Wako mjini wanatuma hela watu wawalimie, kulimisha sio suluhisho.
Sasa mimi nasema hivi, ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, Usilime wala Kulimisha!
Wewe subiria wanaolima walime, wanaolimisha walimishe, wewe subiri mazao uyanunue. Tofauti na hapo ni ziro!
Mkuu nafita thread yangu naweka comment yako. Nimekubali kupindua mtazamo mana hata mwenyewe nafanya hii ishu.Sasa mimi nasema hivi, ukitaka kufanikiwa kwenye kilimo, Usilime wala Kulimisha!
Wewe subiria wanaolima walime, wanaolimisha walimishe, wewe subiri mazao uyanunue. Tofauti na hapo ni ziro!