mwanyaluke
JF-Expert Member
- Jan 22, 2015
- 473
- 1,448
Nafanya biashara za nafaka na mazao, Nina shamba na mifugo, nina duka na gari za mizigo, nimeajiriwa kama mwalimu wa serikali nk.
Nina ujuzi mkubwa Tu na experience ya miaka mingi kwenye Dunia ya pesa,Shughuli zote nilizotaja nimerithi kutoka kwa marehemu mzee Wangu kasoro ualimu. Nimefuatilia sana kazi zangu kuanzia 2017 Hadi Leo nimepata majibu niongeze mtaji shambani , ntaendelea na kilimo cha mpunga na viazi, ntaendelea na ufugaji wa n'gombe wa maziwa, karibu na wewe upande huu.
Nafyeka parachichi napanda nyasi za ngombe , nachana na ualimu soon to deni langu likisha mwakani, ntakopa Hadi mwisho ntaachana kabisa na ualimu KAZI ya ajabu hii, sitofuga nguruwe Wala kuku tena.