Ukitaka kublock baadhi ya chaneli DSTV unafanyaje wakuu?

Crimea

JF-Expert Member
Mar 25, 2014
24,893
33,453
Kuna baadhi ya chanel nataka zisiwe zinaonekana kwenye king'amuzi changu cha DSTV, hivi hakuna njia ya kublock hivi labda?
 
Kama BET aisee kuna kipindi naona mashoga wanatafuta wachumba na wanapata aiseee. Vipindi vya Homosexuals dating vinarushwa laivu. Yaan sijui watoto wetu watapona vipi na huu upepo.
 
Back
Top Bottom