Inaweza kuwa nzuri ila imekaa kama kuonja sumu kwa ulimi, maana jamaa anaweza akadhani upo siriazi akakupoteza dunianiKwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.
1. Tangaza nia kwamba unataka kugombea jimbo fulani na hakikisha unawaambia kwa kuwatuma marafiki zake na mheshimiwa mbunge kwamba nia unayo na support ni kubwa .
2. Hakikisha unajua udhaifu wa huyo mtangulizi kwa kuzitaja dhahili
3. Tambua mbinu zake kwamba watu wamemchoka kwelikweli wanataka mabadiliko
4. Waambie nipo hapo kwasababu nimeagizwa na aliyejuu kwamba nigombee hilo jimbo maana wewe huna tija. Kama yule wa tandahimba
5. Jipitishe jimboni mara kwa mara na ukitoa ahadi kedekede na kumkandia jamaa
6. Jamaa atataka kukutafuta ili akuzimishe sasa wewe mwambie huwezi onana kifala ila mrushie account aweke hela alafu achana na hilo jimbo nenda la jirani au msuke mwingine.
Ila cheza kwa akili.
Wabunge wamepaniki lazima kiinua miguu tugawane
hahahaha, mbinu za kitapeli ila ujizatiti usije kulogwa. maana siasa ni tafran
Sent using Jamii Forums mobile app
Lazima uwe na pesa ili upate pesa, mtaji wa siasa ni watu na hao watu wengi wao wamechoka na tumeona wakirubuniwa kwa pesaKwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.
1. Tangaza nia kwamba unataka kugombea jimbo fulani na hakikisha unawaambia kwa kuwatuma marafiki zake na mheshimiwa mbunge kwamba nia unayo na support ni kubwa .
2. Hakikisha unajua udhaifu wa huyo mtangulizi kwa kuzitaja dhahili
3. Tambua mbinu zake kwamba watu wamemchoka kwelikweli wanataka mabadiliko
4. Waambie nipo hapo kwasababu nimeagizwa na aliyejuu kwamba nigombee hilo jimbo maana wewe huna tija. Kama yule wa tandahimba
5. Jipitishe jimboni mara kwa mara na ukitoa ahadi kedekede na kumkandia jamaa
6. Jamaa atataka kukutafuta ili akuzimishe sasa wewe mwambie huwezi onana kifala ila mrushie account aweke hela alafu achana na hilo jimbo nenda la jirani au msuke mwingine.
Ila cheza kwa akili.
Wabunge wamepaniki lazima kiinua miguu tugawane
Ahahaha,angalia asikuloge mkuuKuna mtu anaitwa Elibariki kingu kapaniki sana huko Singida ni mbunge . Kipindi hiki wabunge wanaweza kulamba hata magaga yaani
Kwa sasa tunakaribia uchaguzi. Mbinu ya kupata fedha kirahisi kama wewe ni mwanasiasa ni rahisi sana.