Ukisusa wenzio Twala. Wasalimie Jambiani

Ukisusa wenzio Twala. Wasalimie Jambiani

Kwamba hawezi kulazimisha. "Nitamjibu nini Mwenyazi Mungu?

Nashangaa wanaombembeleza asisuse.

Tulishahada nasusahada(Ukisusa wenzio Twala)..

Ulivyotukututa ndivyo utatuacha. Kawasalimie Jambiani na Makunduchi
Na asuse tu. Maaaninaaa zake.
 
Kwamba hawezi kulazimisha. "Nitamjibu nini Mwenyazi Mungu?

Nashangaa wanaombembeleza asisuse.

Tulishahada nasusahada(Ukisusa wenzio Twala)..

Ulivyotukututa ndivyo utatuacha. Kawasalimie Jambiani na Makunduchi
Ona mwingine huyu!
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 kama ni kweli leo pombe zitaniua
Bado tu hujajua kunywa pombe ni dhambi
 
Kama itasaidia kuboresha maisha ya wananchi bas sawa,
 
Hakuna mwenye nguvu kumzidi Amirijeshi Mkuu mwenyekiti wa CCM labda mama akubali tu lakini akiamua kutumia mkono wa Chuma kwenye chama wote tunaufyata
..anao huo mkono wa chuma, au unasema tu vile mdomo unaweza kutamka..siku zote lugha ya vitisho ni ibilisi anasema sabb hiyo ndio silaha yake ya kwanza na rahisi kuitumia.
 
Porojo zimeisha?amesusa Bado?

Wahuni bhana!Wanajifurahisha kwa sekunde tu then wanakimbia jamvini
 
Kwamba hawezi kulazimisha. "Nitamjibu nini Mwenyazi Mungu?

Nashangaa wanaombembeleza asisuse.

Tulishahada nasusahada(Ukisusa wenzio Twala)..

Ulivyotukututa ndivyo utatuacha. Kawasalimie Jambiani na Makunduchi
Hata wewee umeingia kwenye mfumo?heshima yako itashuka sana baada ya ramli kufeli.
 
Back
Top Bottom