Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya TBC!

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya TBC!

TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!!

Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime muende na tamaduni za TV Station zenye mafanikio
duh mbona unawalaumu sana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
TV Station pekee yenye "Mazungumzo Baada ya Habari" na "Matangazo ya Vifo". Na taarifa ya habari ina tarehe!!

Kama kuna station nyingine zenye haya tujuzane. La sivyo TBC tafadhali mjipime muende na tamaduni za TV Station zenye mafanikio
Unasumbuliwa na slavery mentality!! Wewe unataka wakopi na kupesti tu kwanini hao mabwana zako wasiige TBC1?
 
Hivi kwann haichangamki, imekaa kienyejienyeji.

Hivi kuna ubaya gani? Kumuajiri dogo mjuzi Wa mambo, mbunifu kama Millard.

Kama vijana wanachaguliwa kwenye siasa kwann huku kwenye kuliingizia Taifa fedha mkawatoa WAHENGA.
 
Kwani Tido Mhando ilikuwaje akaondoka?
 
Pole mkuu
Mimi siwezi, maana wapo too low

Akili zao wanazijuwa wenyewe
Nyumbani kwangu nimepiga marufuku watoto wasiangalie TBC,nimewapiga mkwara kuwa hairuhusiwi kuangaliwa na watu below 18!!
Nashukuru wameshazoea huwa hawaiangalii kabisa,NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA HILI siwezi kuja kuwaharibu watoto wangu kizembekizembe.
 
Back
Top Bottom