Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya TBC!

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya TBC!

Mkuu,bado upo karne ya 15 AD (You are the only modern specie who lives the life of merchantilism or primitive accumulation of capital or primitive capitalism)
Acha kuangalia hiyo ni Tv station ya chama cha mapinduzi na inapaswa kutazamwa na wanachama tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
[emoji3] [emoji3] [emoji3] pole sana hivi TBC ni Mali ya ccm??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nyumbani kwangu nimepiga marufuku watoto wasiangalie TBC,nimewapiga mkwara kuwa hairuhusiwi kuangaliwa na watu below 18!!
Nashukuru wameshazoea huwa hawaiangalii kabisa,NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA HILI siwezi kuja kuwaharibu watoto wangu kizembekizembe.
Asshole... ni haki yako ila kwa watoto unawapoteza kabisa ujue kuwa ukitaka kujua mwelekeo wa serikali lazima uangalia vyombo vya habari vya serikali pia ila kama hujitambui then sawa tu unavyofanya.
 
Hivi kwann haichangamki, imekaa kienyejienyeji.

Hivi kuna ubaya gani? Kumuajiri dogo mjuzi Wa mambo, mbunifu kama Millard.

Kama vijana wanachaguliwa kwenye siasa kwann huku kwenye kuliingizia Taifa fedha mkawatoa WAHENGA.
Wale wazee pale ni wachawi
 
Uhalisi wake ni kielelezo cha mwanahabari kijana ,anayejitambua, mengine hana chochote cha kutisha siyajui.
 
Back
Top Bottom