Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya TBC!

Ukistaajabu ya Mussa utayaona ya TBC!

Hivi kwann haichangamki, imekaa kienyejienyeji.

Hivi kuna ubaya gani? Kumuajiri dogo mjuzi Wa mambo, mbunifu kama Millard.

Kama vijana wanachaguliwa kwenye siasa kwann huku kwenye kuliingizia Taifa fedha mkawatoa WAHENGA.
Millard hana uwezo wa kuendesha taasisi kama hiyo. Infact ni uduni wa wanahabari wa Bongo tu lakini hana chochote cha kutisha. Walikuwa na Tido na wangekubali kumpa uhuru atumie ujuzi wake halafu waajiri watu wengine wenye ujuzi kama kina Hilary ingefika mbali.
 
Millard ni mfano tu!
Hoja ni wenye Uwezo.
 
Sisi kama TBC tunafurahia kuona umeangalia taarifa yetu ya habari kwa mara ya kwanza,hahah
 
Nyumbani kwangu nimepiga marufuku watoto wasiangalie TBC,nimewapiga mkwara kuwa hairuhusiwi kuangaliwa na watu below 18!!
Nashukuru wameshazoea huwa hawaiangalii kabisa,NAMSHUKURU SANA MUNGU KWA HILI siwezi kuja kuwaharibu watoto wangu kizembekizembe.
Hipo siku utajua faida yake.halafu kuribikiwa Kwa watoto wako si Kwa akili ya TBC .kwani wewe umearibiwa na kua slave ni TBC?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mkuu,bado upo karne ya 15 AD (You are the only modern specie who lives the life of merchantilism or primitive accumulation of capital or primitive capitalism)
Acha kuangalia hiyo ni Tv station ya chama cha mapinduzi na inapaswa kutazamwa na wanachama tu!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Picha na ndev zinahusiana vp na hoja?
Wanaume wa sasa hatusikilizi hoja za wanawake. Hiyo ilikua zamani. Sasa hivi tunaangalia sura kidogo na makalio zaidi. Hoja na tabia tunafundisha wenyewe
 
Wanaume wa sasa hatusikilizi hoja za wanawake. Hiyo ilikua zamani. Sasa hivi tunaangalia sura kidogo na makalio zaidi. Hoja na tabia tunafundisha wenyewe
Bye...
 
Back
Top Bottom