adden
JF-Expert Member
- Dec 27, 2015
- 7,032
- 15,721
Najua mmekuja mbio na wengine kidogo wajikwae!
Hizo ni picha nimepiga leo.
Lakini unekuwepo hapo live nahisi ungekosa pumzi kwa uzuri na mandhari ya hilo eneo linaloitwa LEMOSHO ROUTE.
wazungu sio wajinga kuja kutembelea huku maana ni zaidi burudani ya kufika kilele kile tunachowahi kufika mapema!