Curious gal
JF-Expert Member
- Dec 1, 2014
- 3,200
- 4,010
Hahahahahahhaaaaaa umenichekesha sana kwahiyo nyinyi mkicheat ni sawa ila sisi tukicheat sio sawaMwanaume huwezi nyamaza lazima utafute angle ulipize kisasi..! Maana uhalisia ni bora mume achepuke ila siyo mke aisei..! Mke anauma vibaya mno(ujue mume ni metal/donor ila mke nonmetal/receiver)
Jamaa akiacha kamas zake mule loooh...![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]