Ukisikia vita ya tatu ya Dunia ndio hii

Ukisikia vita ya tatu ya Dunia ndio hii

Na mara baada ya mke kuingia toka saloon mume wake akamrukia na kuviringishana kitandani mara chaga ya kitanda ikatenguka na kujikuta wamewalalia wale waliofichwa uvunguni...
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hapo lazima uwakumbuke wahenga wote
 
Maajabu ya Wahenga!.... Kufumba na kufumbua mara si umeme wa TANESCO ukakatikaaa!....
 
Na kwa bahati mbaya huko uvunguni nyoka alijificha na wamemuona.Nadhani utakuwa ni wakati sahihi kwa wote wawili huko uvunguni kuokoa nafsi zao nadhani watanyanyuka na kitanda
 
UMEMUAGA mkeo unaenda kazini, ukapita kwa mchepuko wako, wakati unajimwaya-mwaya na mchepuko, mume wa mchepuko akagonga mlango, ikabidi ufichwe uvunguni mwa kitanda.

Wakati bado upo uvunguni ka mchepuko kakamuaga mume wake kwamba, kanaenda saloon, mume wa ka-mchepuko naye akaona ndo muda wa kuita mchepuko wake, akauita ukaja, wakajimwayamwaya kwa sana muda huo wee bado upo uvunguni.
Mara mchepuko wako akarudi kutoka saloon, akagonga mlango, ikabidi mume wa mchepuko wako aufiche uvunguni mchepuko wake. Kucheki hivi kumbe mchepuko wenyewe ndo mke wako uliyemuaga unaenda kazini, kwa hiyo wewe na mke wako wote mkawa mmefichwa uvunguni...Ukisikia vita ya tatu ya dunia, ndo hii sasa.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Eee bwana dah

Iga ufe
 
Yani hapo sidhani kama hata mmoja wao atakuwa na guts za kumuuliza mwenzie.......ni bora kila mmoja akakaa kimya
Mwanaume huwezi nyamaza lazima utafute angle ulipize kisasi..! Maana uhalisia ni bora mume achepuke ila siyo mke aisei..! Mke anauma vibaya mno(ujue mume ni metal/donor ila mke nonmetal/receiver)

Jamaa akiacha kamas zake mule loooh...![emoji125][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom