30 nyingi mkuu hawa jeshi la mboga mboga zikiwa nyingi ni dakika 5Bado samia ajiandae tena yeye dakika 30 tu zitatosha kumaliza mchezo!.
Tena hawa ambao kazi kugombania wanawake bar hata hizo dk 5 ni nyingi sana30 nyingi mkuu hawa jeshi la mboga mboga zikiwa nyingi ni dakika 5
Tena hawa ambao kazi kugombania wanawake bar hata hizo dk 5 ni nyingi sana
Dakika 5 nyingi mjomba,ndani ya dakika 1 tu wamemaliza kazi,sisi hatuna jeshi tuna uvcmm wanaovalishwa kombat za jeshi na kufundishwa kulenga raia asie na silaha,mpinzani asie na silaha,na wakosoaji wasio na silaha.30 nyingi mkuu hawa jeshi la mboga mboga zikiwa nyingi ni dakika 5
Huo si unyakuo bali ugaidi at best. Ni unyokonyoko tu. Natamani ungetokea kwetu. Akachukuliwa bi nkubwa na bwana ake Njaa Kaya.Na Malisa GJ
. Kikosi maalumu cha jeshi la Marekani (Delta Force), kimetumia dakika 124 tu (masaa mawili na dakika 4) kutua Ikulu ya Venezuela (Palacio de Miraflores) na kumnyakua Rais Nicolás Maduro pamoja na mke wake Cilia Flores Maduro.
Kumbuka Rais wa Venezuela analindwa na kikosi maalum kiitwacho "Guardia de Honor Presidencial" chenye mamia ya wanajeshi na makomandoo waliobobea katika ulinzi wa viongozi. Kikosi hiki hutumia mchanganyiko wa silaha ndogo na nzito kama AK103, PKM, Mashine Gun, FN MAG etc.
Pia hutumia drones maalumu kama Mohajer-2/4 zilizotengenezwa Iran ambazo zina kamera za infrared na vifaa vya usiku (night vision) na zina uwezo wa kuruka muda mrefu kufanya upelelezi (surveillance) na kutuma taarifa moja kwa moja Ikulu.
Pia hutumia drones kutoka China (ASN-206/Wing Loong), ambazo hutumika kukwepa au kuzuia mashambulizi ya makombora yanayolengwa kwa Rais.
Kikosi kina magari maalumu yasiyopitisha risasi, aina ya Chevrolet Suburban armored SUV kutoka Urusi (yapo 200) na VN-4 armored personnel carriers kutoka China (yapo 100). Kina Helikopta za kijeshi Mi-17 na Super Puma AS332 kwa ajili ya kumtorosha Rais kukiwa na dharura. Helcopter hizo hazipitishi risasi na zina kinga dhidi ya makombora.
Pia kikosi hicho kina Ndege 5 za kivita kutoka Urusi aina ya Sukhoi Su-30MK2 na ndege za 7 za doria kutoka Pakistan aina ya K-8 Karakorum jets, zenye uwezo wa kukimbia hadi 1,000 KPH (480 knots). Ndege hizo pia zina uwezo wa kufanya manuva ya aerobatic kama kupinduka juu chini (inverted flight), kuruka kwa duara, spins, rolls, na kupiga mbizi (dives).
Hii ilimfanya Maduro kuwa Rais mwenye ulinzi mkali na wa kisasa kuliko Marais wote America kusini na Caribbean. Lakini pamoja na yote hayo, Marekani aliposema "tunakuhitaji kituoni uje uandike maelezo" wametumia dakika 124 tu kumnyakua 😂. Halafu kuna watu wanafananisha Marekani na vitu vya kijinga.
Jiulize kama Maduro mwenye nguvu zote hizo, lakini Marekani imetumia masaa mawili tu kumnyakua, itashindwa kuingia Malawi hadi itume vijana wapite mpakani na mabomu ya machozi? Ndio maana kuna story ukisikia mtu mzima anaongea unaona anajidhalilisha tu. Bata, Wahed.!
https://www.facebook.com/
View: https://www.facebook.com/share/v/17we8GoEqF/
Kumbuka, kikosi cha Samia The Killer kinajumuisha pia mashehe ubwabwa waliobobea katika kuendesha dua al badri. Hapo ndiyo mwisho wa maneno! Kama huamini, muambie Trump ajaribu akione cha moto!😂Na Malisa GJ

Kumbuka, kikosi cha Samia The Killer kinajumuisha pia mashehe ubwabwa waliobobea katika kuendesha dua al badri. Hapo ndiyo mwisho wa maneno! Kama huamini, muambie Trump ajaribu akione cha moto!😂
Chevrolet Suburban ni magari ya Kimarekani yanayotengenezwa na General Motors.Na Malisa
Kikosi kina magari maalumu yasiyopitisha risasi, aina ya Chevrolet Suburban armored SUV kutoka Urusi (yapo 200) na VN-4 armored personnel carriers kutoka China (yapo 100). Kina Helikopta za kijeshi Mi-17 na Super Puma AS332 kwa ajili ya kumtorosha Rais kukiwa na dharura. Helcopter hizo hazipitishi risasi na zina kinga dhidi ya makombora.
Hapa inatosha kusema siajsoma yote na kilichoendelea ni pumba...Chevrolet Suburban armored SUV kutoka Urusi (yapo 200)
Huo unyakuo wa maduro una sababu kuu ni mafuta mengine yote ni porojo tu,huko malawi unakokutaja hayo mafuta hakuna,wala hawatakuja abadan#PichaYaKwanza: Venezuela ni taifa huru, hatuwezi kuingiliwa wala kupangiwa mambo yetu ya ndani. Hao wanaosema tunakandamiza haki za binadamu na hatuna demokrasia, jiulize kwao hayatokei? Washughulike na mambo yao, wasituingilie. This is sovereign state na mimi ndiye Amiri Jeshi Mkuu.View attachment 3524954
#PichaYaPili: Aisee wakuu kuna mtu ana fegi hapo anisaidie pafu mbili nipunguze mawazo.!View attachment 3524955