Ukisikia mwanamke ana kauli hizi, stay away

Hahaha haikuwa rahisi, nmemtumia kama shamba darasa ndio maana nimeiva sasa. Ndoa sio rahisi, kwa niliyopitia nae heheheh we chagua mama moja uanze kuyanjenga! Utajifunza mengi sana
Kumfundisha mtu inahitaji kipaji, mm sina mkuu

Siyakudumisa Thixo
 
Bwana wee mambo ya kusema sijui gari letu au kiwanja chetu ni mpaka hapo nitakapoolewa.
Siwezi kununua kiwanja au gari kabla sijaolewa nikasema letu. Letu na nani sasa? Huyo atakae acha kunioa kisa kanikuta niko na gari nasema langu au kiwanja nasema changu aniache tu kwakweli. Tukishaoana hapo sasa ndo kila kitu kitakuwa chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Katika kupiga story na mwanamke/ Msichana ambaye una interest nae na ungependa in some days awe somebody/ Mrs. Akiwa na kauli hizi achana nae

" Nataka kuwa na kazi yangu, Niwe na biashara yangu niwe na maisha yangu nifanye vitu vyangu ninunue na kiwanja changu nijenge nyumba yangu"

Kaa mbali na huyo mwanamke. Huwa ni wabinafsi sana. Hutakaa ufurahie maisha nae.

Wakati ww unawaza uwe uwe na mke pia uwe na familia ufanye mambo kwa ajili ya familia, yeye anajiwazia yeye tuu.

"NEVER MARRY A SELFISH WOMAN"

Nafuu uoe mwanamke mshirikina

Siyakudumisa Thixo
Kama anataka hivyo y? Msisaini postnuptial agreements nafikiri inaruhusiwa bongo au??lawyers pls assist
 
Katika kupiga story na mwanamke/ Msichana ambaye una interest nae na ungependa in some days awe somebody/ Mrs. Akiwa na kauli hizi achana nae

" Nataka kuwa na kazi yangu, Niwe na biashara yangu niwe na maisha yangu nifanye vitu vyangu ninunue na kiwanja changu nijenge nyumba yangu"

Kaa mbali na huyo mwanamke. Huwa ni wabinafsi sana. Hutakaa ufurahie maisha nae.

Wakati ww unawaza uwe uwe na mke pia uwe na familia ufanye mambo kwa ajili ya familia, yeye anajiwazia yeye tuu.

"NEVER MARRY A SELFISH WOMAN"

Nafuu uoe mwanamke mshirikina

Siyakudumisa Thixo
Ngoja Nikumbuke huwa nawaambia nini wanawake. Ok huwa nawaambia nataka niwe na nyumba yangu,niwe na biashara yangu,niwe na gari yangu kabla ya kuoa...... inawezekana ndio maana wananikimbia?
 
Bwana wee mambo ya kusema sijui gari letu au kiwanja chetu ni mpaka hapo nitakapoolewa.
Siwezi kununua kiwanja au gari kabla sijaolewa nikasema letu. Letu na nani sasa? Huyo atakae acha kunioa kisa kanikuta niko na gari nasema langu au kiwanja nasema changu aniache tu kwakweli. Tukishaoana hapo sasa ndo kila kitu kitakuwa chetu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Aisee!
 
Bro, kwanza niseme tu umepanic kwa kukwambia "hujui unachotaka kwa mwanamke"
Ungenisoma vyema mistari niliyoanza nayo, ungejua argument yangu ipo wapi, na kama ingekuwa completely kukupinga kama unavyotafsiri nisingezungumzia kuhusu upendo wala uvumilivu. Tatizo ni ku classify upendo na kupima uvumilivu. Ndio maana nikaja na maelezo hayo ambayo ulitakiwa huyaelewe word to word ndo ujibu na sio kunilisha maneno kiasi kwamba mi sijaelewa nilichokisoma na sijui nilichokiandika.
 
Mwanamke hawezi milikiwa mara mbili baada ya kuolewa... Huu ni utamaduni wa asili tangu kuumbwa mwanadamu...

Lakini mwaume anaweza milikiwa mara mbili ama zaidi... Hii pia ni asili tangu kuumbwa mwanadamu...
Nadhani binadamu kwa ujumla ni mbinafsi
Ila tunatofautiana viwango

Mwanaume akioa anataka mke ammiliki peke yake na ayafuate matakwa yake!! Huo nao ni ubinafsi

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kumbe tuwe bila malengo

"They may forget what you said, but they will never forget how you made them feel.”
 
Back
Top Bottom