Watu wanashindwa kuongea wanabakia kujitingisha kama wanakata motoUkiwa na maana ya Poleײ anarusha roho watu
Haliishi ndo kafanya uteseke, sahivi ungekua bustanini umekaa tu ni kufurahi na kula matunda 😂Nikiona nyoka anagaragazwa Huwa nafurahi sana.
Sijui hili bifu langu na nyoka litaisha lini..!?
Akimalizia anahamia kwenye ma appleMuda huu anakula zabibu
Hapo mzee snake hatoki, maana scorpion anagonga na hio sindano yake yenye sumu lazima snake ashindwe pambano..Na scorpion anapiga hapo hapo
Daaah nyoka pumbavu sana 😁Wakati huo hana nguo tupo watupu
Sijui atakuwa german shepherd?Dduuh ilo tandu breed gani?
Scorpion ni hatari sana, kamwili kadogo ila kazi kubwa.Huyo nyoka amekabwa halafu scorpion anamgonga kichwani na mkia wake , huyo nyoka hachomoki hapo..