Ukisikia Kitu cha wastani .

Babylon

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2009
Posts
1,332
Reaction score
85
Chombo hicho kinakupeleka angani bila wewe mwenye kujijuwa halafu hayo mauwa alivyo yakamata imekuwa kama vile ana spices up .
[h=1][/h]
 
Mbona hujaeleweka fafanua vizuri ili tuweze kuchangia mawazo yetu
 
Angalia vizuri mgongoni mwa dada aliyevaa suti nyeusi. Unaonaje mbinuko huo, hautoshi kwa chakla?
 
kweli hicho kitu cha wastani ni kizuri,naunga mkono hoja.kwa ambao hamjaelewa poleni
 
anayeongelewa hapo ni huyo manzi wa kwanza kushoto
 
hamna kitu hapo au mpaka inzi waweke kikao hapo ndo ujue pakoje?
 
mada tu imekaa kiMK ila snap ndio inaonesha jamii photo..

watu kwa choo mko juu mbaya..
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…