Ukishinda Dola Million 550 Powerball Lottery ya Marekani Utafanya Nini?

Kim Kardashian atakuwa shemeji yenu,pia Beyonce atafuatia na mwisho nitaileta bahari ya Hindi Dodoma ili ikulu na mawaziri wahamie makao makuu ya nchi na zilizobaki nitatoa makanisani,mashuleni,misikitini na kwa wana CCM wenzangu ili ikifka 2015 niwe mkaazi wa Magogoni
 
binafsi sijui nitaanza na kipi ila nitaakikisha kila sehemu ya tanzania kuna makanisa ya maana makubwa na mazuri na pia nitaonjeza vyuo vya makanisa kila sehemu KIUFUPI NITAMUWEKA MUNGU MBELE YANGU ili kila uingiapo kanisani lazima uniombee nizidishiwe
 
Kim Kardashian atakuwa shemeji yenu,pia Beyonce atafuatia na mwisho nitaileta bahari ya Hindi Dodoma ili ikulu na mawaziri wahamie makao makuu ya nchi na zilizobaki nitatoa makanisani,mashuleni,misikitini na kwa wana CCM wenzangu ili ikifka 2015 niwe mkaazi wa Magogoni

basi mi nakuachia huyo Kim Na B. Mi ntamchukua Megan Good, Jessica Alba then Jessica biel!
 
Mbona kitu kidogo sana naweka fixed deposit crdb nakuwa nakula interest kila mwezi
 
Mkuu hakika mungu atakuongezea na kukupa maisha marefu kwa sala na baraka kutoka kwa wale wote uliowasaidia kuboresha maisha yao. naamin unazidi kupata mafanikio na yote hayo ni dua njema kutoka kwa wale wote wanatamka kila kila mara Dingswayo mungu amzidishie na kweli unazidishiwa. endeleza moyo huo huo na wengine waliojaliwa kipato waige kutoka kwako.
1. Mitajenga hospitali kijijini kwetu na kufanya matibabu yawe bure au rahisi
2. Nitajenga shule ambazo kila mwanafunzi ataweza kuhudhuria
2. Nitaaanzisha miradi ya kutoa ajira kwa walionizunguka

Mantiki ni kuwa utajiri wangu hauna maana yeyote, kama ninaoishi nao ni maskini! Vitu ni vya msimu tu, inafika wakati vogue yako utaiona ya zamani na utaichoka, jumba lako la fahari utalala chumba kimoja tu, ila furaha ya kweli ni ile inayodumu nayo ni kusaidia binadamu wenzako.

  • Kuna wakati nilifikiria nikipata music system maisha yangu yatakuwa mazuri. Nikaweza kununua. Nikaizoea nikaona ya kawaida.
  • Nikasema nikinunua TV kubwa kabisa nitafurahi. Nikanunua, vipindi vyake vikaanza kuniboa.
  • Nikasema nikinunua gari (used) nitakuwa nimemaliza. Baada ya muda nikaliona limepitwa na wakati.
  • Nikaamua ninunue jipya kabisa, baada ya miaka mitatu nikalichoka
  • Nikajenga nyumba nzuri ya kuishi....bado nataka kujenga zingine...ila
  • ...nikasaidia watu wengi wakabadilishamaisha yao kuwa bora...NIMERIDHIKA NA MOYO WANGU U SAFI KABISA!
 
Nitataweka mabomba ya maji ya rangi ya mende kutoka kiwanda cha pale Mchikichini kwenye kila nyumba ili kila mtu apate kunywa maji ya dhahabu wakati wote buuree
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom