Ukishikwa......

Kuna rafiki yangu mmoja alishawahi kunipa definition ya mapenzi akasema "Mapenzi ni upumbavu, uchafu,ujinga, raha,karaha na vingine viiiingi ukivichanganya pamoja"............................The Finest umesema "Love Dont make No sense"!!

Lizzy acha tu yaani ni kizungumkuti.
The Following User Says Thank You to MwanajamiiOne For This Useful Post:

The Finest (Today)​
 
Rose huishi vimbwanga wewe hahaaha.....mie ndio mmoja wa walioingia kichwa kichwa aisee lakini nashukuru imenifanya nimekuwa chizi anajua nilikuwaga mentor sasa kanifanya nimekuwa chizi kabisa, kingine ni kwamba mcwasujudie kwa ajili ya ndoa, toaga makucha ajue huko mbele anajipangaje akifanya madudu, sio mtu kwasasa mpo marafiki na unajua ana vimbwanga vyake huko unakaa kimya tu ili asibadili mcmamo wa ndoa, unamchengia kuanzia mapema kama ipo ipo tu bwana halafu hayabadilikagi haya so umkubali jinc alivyo kuanzia mapema, sio ile eti ntabadilisha/atabadilika tu...umekuwa mamake mzazi?

kwakweli namshukuru mungu kwa jf na izi semina huru nyingine ambazo zinapatikana tu bila fe yoyote ZIMENIPA MAARIFA MENG...
at least mtu unapata kujua a.b c,d za ndoa b4 ukiingia unajiona si mgen sana na unachukulia poa tu cz ushayasikia saaaaaaaaaaaaaaana...lakin ukiiingia ukiwa mpya mpya ahh presha zinazid kwa kwakweli...

yaan asilimia 80 ya ndoa ni COLD WAR...ambavyo avina muambato wa socialism wala liberalism na auwez ukajifanya NAM...ni lazima tu uparticipate kwa namna moja ama nyingne ..ata japo kujifanya muuzaji wa silaha km USA...innnakkkeraaaaaaa!!!!!!!
 
Liondolowe kabla huu mwaka haujaisha sababu ni unafiki mtupu, mtu anajifanya anakupenda kumbe BANGE tupu.
Naunga mkono hoja. Huu unafik wa sijui "honey nakupenda kama Lorry linavyopenda diesel", kumbe simu lako umeweka code haukubaliki popote.
 
kwakweli namshukuru mungu kwa jf na izi semina huru nyingine ambazo zinapatikana tu bila fe yoyote ZIMENIPA MAARIFA MENG...
at least mtu unapata kujua a.b c,d za ndoa b4 ukiingia unajiona si mgen sana na unachukulia poa tu cz ushayasikia saaaaaaaaaaaaaaana...lakin ukiiingia ukiwa mpya mpya ahh presha zinazid kwa kwakweli...

yaan asilimia 80 ya ndoa ni COLD WAR...ambavyo avina muambato wa socialism wala liberalism na auwez ukajifanya NAM...ni lazima tu uparticipate kwa namna moja ama nyingne ..ata japo kujifanya muuzaji wa silaha km USA...innnakkkeraaaaaaa!!!!!!!

na ackuambie m2 kwamba ndoa yake ipo perfect, hakuanaga chini ya jua, tuoneni tu huko kwenye foleni/party tunacheka na kufurahi ukajisema unatamani ndoa ya nyamayao...pweehh tumezipigania haswa.
 
mhh mbona mnatutisha sasa?
kwa iyo kinachogomba sana ninin?
mme kupiga nje na kurud usiku wa ma8
aihudumii famil?
au nini?

ahh kwakweli mi nataka tu awe anatimiza wajibu wake wa kichwa cha nyumba..anipe stahiki zote

wanangu shule wanaenda...

mirad ya maendeleo ipo ..ahh apo basi poa ...stak kujipa edek..aende tu manake bnadamu kumzania au kumfanya aish vile ninavyowish vgumu/ngumu..

mim ataka basic needs tu...ayo mengne atajiju cz i knw ata km nikimwimbia daily stak /spend HATANIELEWA ..as long as kaaamua kufanya utumbo....dah sa mbona ladha ya ndoa akuna tena?

ehh lakin kuna anko wangu wanaisha na mkewe utasema wamechumbiana jana...sjui km wanagombana wale.....yaaan uyu akitoka uyu mwenzie anaumwa uyu nae akitoka mara moja uyu mwngne anaumwaaaaaaaa sana....wanapendana km makinda ya ndege na ukiwa chek now wapo kwenye 50 yrs ivi.....na ninaskia tangu tukiwa wadogo mapenz yao ni ivo ivo ayachuji....
 
ya ndani ya watu huyajui na wala hutakaa uyajue, ni kama mie nikisemaga nilishafumania but ukitukuta sasa hivi utaitamani, ni kwamba imetokea hatuwezi kuonyesha mbele za watu kinachoendelea, ukija kwangu dk hii na tulikuwa tunachengiana ni muda huo huo tunabadilika na amani tele, ukiondoka tunaendelea kutafuta muafaka hapo tulikuwa tunajiana juu ki kweli kweli...wacha kabisa Rose....unauliza kinachogomba n nn? chukulia sasa hivi n nn kinagomba na boyfrnd wako ili hali kila mtu yupo kwake sasa mtakapoishi pa1? ni vijimambo tu kama ambavyo anavyogombania na byfnd lakini but kwa ndoa zinaongezeka kidogo kwa namna moja au nyingine, mume kupiga nje wanapiga tu, so unataka kuniambia upo tayari kuwa na mume unaejua ana cheat na kila mdada but upo tu ili mradi anatoa basic needs? Rose ucnitanie, arudi saa 8 za ucku katokea wapi jamani?....unafikiria basic needs na maradhi je hao watoto mtaachia nani?...mie nilivyomkuta cku zile kama sio kutimua nadhani sasa hivi ningekuwa cngle mother, afanye kwa kutumia akili zake aisee, nani anataka akikohoa anaogopa kwenda hosp akihofia magonjwa ya ajabu ajabu?
 
hehehhe ama kweli alovumbua mapenzi kafa long time.
Nakusalimia tu sweetheart nyamayao wallahi
 
ndio mpenzi ili kuepusha uchizi coz hili game kama una roho nyepec wehu unakuhusu....hahahah

katika maisha ya leo bana asilimia zote/kama sio 99 wana vi-Window 7 nje iwe wanawake/wanaume sasa kivumbi mmoja amfumanie mwingine.....hahahahahah hadi vumbi litatoka palipo na tope.

NATAKA PAJA MIE....SIKITAKI KIPAPATIOOO
 
Back
Top Bottom