Ukishikwa......

hapo red umenikumbusha zile barua zetu za praimari. Asante mpenzi
Hapo buluu itabidi tukomae tu, kiama chenyewe kimehairishwa! tutafanyaje unadhani.

hivi wamehairisha mpaka lini? kweli hapo inabidi tuzidi kukaza kamba mpaka kieleweke.
 
hahahahahah Nyamayao unanifurahisha? akili robo kijiko ndio nini tena? kwa hiyo sasahivi uko juu mbaya.

IF YOU DO ME ....I DO YOU!!!
Nina dume langu dume, kila siku makelele, likitaka kunipiga, lazima linivute manywele, nami nalibembeleza, kwa kulipikia mchele:tape::tape::kev:
 
Ni sawa kabisa LIzzy umesema vyema kila kitu kiwe na kiasi ..hapo ndo mnaweza kufika mwisho wa safari
Lakini ikiwa kwa kukomoana mkifika milima ya Senkenke ndio mwisho wa safari
 
5 Reactions
Reply
Back
Top Bottom