Ukishazaa tu ndo ujiachieee

Ukishazaa tu ndo ujiachieee

Kwanza wew mwanaume ni mbinafsi sanasana...muhurumie mwenzio anachoka sana kwa kipindi hiki...hizo shughul fanya mwenyewe acha undez...na labda hapendi kuvaa braa koz maziwa yamekua makubwa kwa sasa koz ananyonyesha kama vip mnunulie nyingine kubwa na muda unaenda kuoga uwe unaenda oga nae...mtafutie housegirl amsaidie ili muda mwingi apumzike ata recover mapema na mtaendelea kuinjoi hapo badae kidog....na uache kufikiria kuchepuka
 
Wiki mbili tangu ajifungue! Halafu unalalamika amejaichia,eti hadeki sijui hapiki vizuri...hv ww unaijua shughuli ya kujifungua ilivyo na malezi ya mtoto mdogo. Ht huo mgongo amepona saa ngapi hd aweze kuinama kudeki na kukaa kukupikia vzr.
Kwanza unamuonea,ww ndio ulitakiwa ufanye hizo shughuli au km vp umtafutie msaidizi tofauti na hapo lazima badaea ataugua sn kwsbb ameanza kufanya kazi mapema sn.....watu tulikaa miezi 3 ndio tukaanza kufanya kazi sembuse ww wako huyu wiki mbili tu malalamiko hd jf!
 
Shinda na mtoto for 2 days utam respect huyo mwanamke. Sio kazi rahisi. Wewe unafanya nini kumsaidia au ndo unaweka ke.nde zako tu infront of the tv ukirudi home?! Give her a break yeye mwenyewe ana mtoto wa kumhudumia bado ajihudumie yeye na wewe pia. Unataka atoke chicha, akupikie matembele yaloenda shule na umkute mtoto msafi na kanyonya kashiba. Have a heart ana hitaji muda wa kuji adjust na apatiwe a good support system.

Yaan sijui ni janaume gn hili lisilo na huruma. Na huyo dada anatakiwa apumzike ht miezi 2 hv,kazi yake iwe kula na kulea mtoto tu. Mpishi wa matembele na mambo mengine awe mtu mwingine.
 
Wiki ya pili sasa toka atoke kwao na kichanga changu na sikuwahi ishi nae zaidi ya kuduu tu na akikaa kwangu ni siku moja ama mbili basi anarudi kwake.

Kinachonishangaza sijui nini yaani amekuwa mtu wa kujiachia tu tofauti na awali akija getho atapiga deki hata mara tatu kwa siku lakini sasa hivi inaweza ipite asipige kabisa, chakula chenyewe cha kawaida kabisa wakati zamani hata kama ni tembele basi ataweka na kachumbali.
Mwanzoni nilimkubali sana kutokana na jinsi alivyo ni care lakin sasa mh! Ziwa lenyewe analiachia mpaka limepoteza mvuto wakati zamani ukigusa sidilia tu anaruka na kuongeza chachu ya kuduu na tukiwa chumbani ndo kabisaa yaani nimemzoea mpaka basi, mpaka mvuto umeisha sasa najiuliza sijui ndo 'ufyele' au hii hali itakuja badilika. nataka muoa kabisa ila hii hali inanitisha jamani sijui ni airishe tu lah.

Yuko busy ananyonyesha msaidie kupika tembele
 
Heheheeiya..wanaume suruali wengi sana mjini...
 
usiahirishe ila mpenzio kajisahahu kajua akisha zaa amekushika na kusahahu mwanaume matunzo... usimwache utamuumiza zaidi ila kama ajavaa sidiria mwambie vaa msifie sifie unaonekana mdogo japo umezaa ataanza kujikeep vizuri......
ikishindikana mtafute mwanaume amtongoze ili ajione kibinti bado

umetisha baby loh
 
Back
Top Bottom