Ukishazaa tu ndo ujiachieee

Ukishazaa tu ndo ujiachieee

yutu

JF-Expert Member
Joined
Nov 24, 2013
Posts
1,778
Reaction score
1,222
Wiki ya pili sasa toka atoke kwao na kichanga changu na sikuwahi ishi nae zaidi ya kuduu tu na akikaa kwangu ni siku moja ama mbili basi anarudi kwake.

Kinachonishangaza sijui nini yaani amekuwa mtu wa kujiachia tu tofauti na awali akija getho atapiga deki hata mara tatu kwa siku lakini sasa hivi inaweza ipite asipige kabisa, chakula chenyewe cha kawaida kabisa wakati zamani hata kama ni tembele basi ataweka na kachumbari.

Mwanzoni nilimkubali sana kutokana na jinsi alivyo ni care lakin sasa mh! Ziwa lenyewe analiachia mpaka limepoteza mvuto wakati zamani ukigusa sidilia tu anaruka na kuongeza chachu ya kuduu na tukiwa chumbani ndo kabisaa yaani nimemzoea mpaka basi, mpaka mvuto umeisha sasa najiuliza sijui ndo 'ufyele' au hii hali itakuja badilika.

Nataka muoa kabisa ila hii hali inanitisha jamani sijui ni airishe tu.
 
usiahirishe ila mpenzio kajisahahu kajua akisha zaa amekushika na kusahahu mwanaume matunzo... usimwache utamuumiza zaidi ila kama ajavaa sidiria mwambie vaa msifie sifie unaonekana mdogo japo umezaa ataanza kujikeep vizuri......
ikishindikana mtafute mwanaume amtongoze ili ajione kibinti bado
 
teh teh hujatulia weye
 
Ah ah poa swahiba umeamua kuniunguzia
usiahirishe ila mpenzio kajisahahu kajua akisha zaa amekushika na kusahahu mwanaume matunzo... usimwache utamuumiza zaidi ila kama ajavaa sidiria mwambie vaa msifie sifie unaonekana mdogo japo umezaa ataanza kujikeep vizuri......
ikishindikana mtafute mwanaume amtongoze ili ajione kibinti bado
 
mfundishe kwa kumueleza kuwa kabadilika akizingua tena lea mtoto tu
 
Wiki ya pili sasa toka atoke kwao na kichanga changu na sikuwahi ishi nae zaidi ya kuduu tu na akikaa kwangu ni siku moja ama mbili basi anarudi kwake.

Kinachonishangaza sijui nini yaani amekuwa mtu wa kujiachia tu tofauti na awali akija getho atapiga deki hata mara tatu kwa siku lakini sasa hivi inaweza ipite asipige kabisa, chakula chenyewe cha kawaida kabisa wakati zamani hata kama ni tembele basi ataweka na kachumbali.
Mwanzoni nilimkubali sana kutokana na jinsi alivyo ni care lakin sasa mh! Ziwa lenyewe analiachia mpaka limepoteza mvuto wakati zamani ukigusa sidilia tu anaruka na kuongeza chachu ya kuduu na tukiwa chumbani ndo kabisaa yaani nimemzoea mpaka basi, mpaka mvuto umeisha sasa najiuliza sijui ndo 'ufyele' au hii hali itakuja badilika. nataka muoa kabisa ila hii hali inanitisha jamani sijui ni airishe tu lah.

Kaka kipindi hiki unamuonea bure, mtoto anamshughulisha sana!! Kumbuka mtoto anategemea maziwa ya mama pekee so hatakiwi kutumia mafuta yao ya kemikali atashika ziwa mtoto anyonyee ushangae unaanza kuuguza maradhi yasiyoeleweka!!

Unatakiwa uwe mwerevu sana kama baba la sivyo mtaua mtoto!! Harufu za madawa ya nywele, mapafymu na mafuta makali yenye kemikali za zile poda havitakiwi kabisa kabisa!! Mtamuumiza mtotot, we cha kusisitiza awe msafi bila kutumia chochote kwa minajili ya afya bora ya mwanao!!

Kuhusu kupika kaka na wewe ingia mzigoni inapobidi, malezi ni mambo mengi sana na yanachosha!! Utakuta wewe ulipoondoka kwenda kazini mtoto kalia muda mrefu, amuache akukatie wewe kachumbari?? Au mtoto alilia usiku kucha, kwa nini mchana asipate muda wa kupumzika kama wewe ambavyo ulipumzika usiku yeye anabembeleza mtoto??
 
Eti kasema sijatulia wakati namsaidia ili mkewe ajione mzuri

Hajazoea maana ushauri kama huo wako sehemu nyingine inabidi uulipie ndio upewe...

Hajui akitaka kuona mapozi basi ni pale mke wake atakapoanza kutupiwa kamba...!!!
 
Yaani wewe ni kivulana cha ajabu sana coz hata hustahili kuitwa baba. Kwanza huelewi hata mwenzio yuko katika kipindi gani. Mwanamke baada ya kujifungua inabidi apate muda mrefu wa kupumzika, angalau miezi mitatu ili viungo vyake hasa vya uzazi, mgongo na kiuno vikae sawa tena kijijini kwetu inabidi awe ana lala tu. Kulea mtoto sio kazi ndogo jamani, kipindi hiki mtoto ananyonya, kunyonyesha tu ni kibarua acha pale mtoto atakapo sumbua au kulia. Unatakiwa umuwekee mtu wa kumsaidia. Ila umenisikitisha sana, hustahili kabisa kuitwa baba. Huelewi uzazi hata kidogo. Rudi kijijini wazee wakakufundishe
 
usiahirishe ila mpenzio kajisahahu kajua akisha zaa amekushika na kusahahu mwanaume matunzo... usimwache utamuumiza zaidi ila kama ajavaa sidiria mwambie vaa msifie sifie unaonekana mdogo japo umezaa ataanza kujikeep vizuri......
ikishindikana mtafute mwanaume amtongoze ili ajione kibinti bado

Miss chaga punguza vituko!Atafute mwanaume wa kumtongoza mkewe to be?
 
Back
Top Bottom