kwa muda mrefu nilikuwa najaribu kuutafakari mgogoro uliopelekea vita nchini Sudan ya kusini na kupelekea watu zaidi ya 1200 kufa na mamia kwa maelfu kuyahama makazi na kupata shida ikiwa ni magonjwa ya milipuko na njaa kwa watotot na akina mama. nimejaribu kufikiria nini chanzo cha yote hayo nchini s.sudan na watu kufariki wasio na hatia nikagundua kuwa chanzo cha yote hayo ni HOFU , WASIWASI NA KUTOJIAMINI kwa Kiongozi wa nchi hiyo SALVA KIIe wa rais na. huyu jamaa hajiamini na kumuhofia makamu wake wa rais na kuja na visingizio kuwa ana mpango wa kumpindua kumbe ni woga na kutokana na kujua kwamba makamu huyo wa rais anayajua madudu mengi sana ya salva kiir akaona ni vyema am "fix" mapema pasi kujua kuwa makamu huyo wa rais ana ushawishi mkubwa sana kwa wananchi na pia katika jeshi. baada ya kumtimua kazi kwa kisingizio cha UASI leo ndo tunaona madhara makubwa yanayoendelea kutokea s.sudan na yeye mwenyewe anahaha namna ya kuutatua mgogoro huo..kwa kuwa amelikoroga HANA BUDI KULINYWA.
kama viongozi wa chadema wangekuwa na akili timamu wangeweza kujifunza kupitia suala la sudani ya kusini na madhara yanayoendela kujitokeza hivi sasa ambayo yanagharimu maisha ya raia wasio na hatia.
FREEMAN MBOWE hana tofauti kabisa na salva kiir rais wa s.sudan kwan kwa WOGA WAKE, KUTOJIAMINI KWAKE NA WASIWASI WAKE anamuogopa na kumuhofia sana kijana mdogo ZITTO ZUBER KABWE na kufanya kama alivofanya SALVA KIIR wa s.sudan kwa kumsingizia UASI na USALITI ili wam "fix" kama alivyofixiwa makamu wa rais wa s.sudan
MY TAKE:kama chadema na freeman mbowe mtaendelea na mpango dhaifu wa kumfukuza ZZK hakika chama chenu hakiwezi kukwepa ya sudan kusin kwa namna yoyote.
wenye akili timamu watanielewa vizuri sana lakini misukule haiwezi kunielewa hata kidogo zaidi ya kuja na matusi na kashfa pasipo kusoma vizuri na kuelewa na kutafakari ki great thinker.
lakini hata ivo nawakaribisha wote MISUKULE na GREAT THINKERS tujadili.
NB:kashfa na matusi vinaruhusiwa kwa MISUKULE TU.
Tatizo lako kubwa ni shule za kata ulizosoma, kama huwezifanya uchambuzi yakinifu ni bora ukakaa kimya na kunyamaza kimya kabisa usikilizie tu muziki. Wewe mwenye akili ebu twambie umefanya nini katika nchi hii, au ndo wale wale mamluki wazee wa buku saba, Tafakari chukua hatua.
Ukabila huko South sudan ....
Ukabila mbaya !!
A few days into the conflict, the hashtag #MyTribeIsSouthSudan began to trend, and was used more than 2,000 times, by people keen to push back at the way the country has been portrayed as dividing along ethnic lines. The conflict began on 15 December when President Salva Kiir, a Dinka, accused his former Vice-President Riek Machar, a Nuer, of plotting a coup. In the very first hours of the fighting, Twitter was used extensively in Juba as a way of sharing information on the dangerous and safe places and in planning evacuations, says Cox.
Mkuu, hakika Mbowe ni zaidi ha hao uliowataja maana hao ni wakuu wa nchi wakati Mbowe ni mwenyekiti tu wa chama ambacho hakina uwezo wa kushika dolaMbowe mi sawa na MUSEVEN ,KAGAME AU MUGABE(hawa watu wanasema hawajamuona mtu mwenye sifa na mzalendo wa kuchukua nafasi zao) ni kinyume cha demokrasia ,-MBOWE mhafidhina wa demokrasia...............!!angepata bahati ya kuingia ikulu angekua anajiongezea terms za ukomo wa madaraka kila leo jinsi kulivyo kutamu lakini tumeshtuka tumeshawajua
Mbowe ni sikio la kufaMBOWE ni janga kubwa katika siasa za Nchi hii
Wandugu hii lazima tujue yanayoendelea barani Afrika; Sera za chama zaweza kuwa nzuri na kupambwa kivyake, Lakini utendaji huwa na mwelekeo wake peke!!its true mkuu hata chadema inamalizwa na UKABILA na UDINI
Sure Mkuu. Hiki chama kikifa nitawahurumia sana akina Yeriko Nyerere na Ben Saananeits true mkuu hata chadema inamalizwa na UKABILA na UDINI