Adhabu,kwani Nani kasema kumfundisha mtoto lazima upigeπ³ huyu dada huyu mbona Kama ndo umeanza kuharibuWanapewa malipo ya kazi yao, kubutuliwa huko ni kawaida yao kutafuta pa kushushia hasira zao nashukuru saiv wanabanwa na serikali katika jambo zima la adhabu, sasa machungu aliyonayo mtoa mada unadhani mtoto asipoelewa aeiou nini kitamkuta!
Sie hatuna shida nao wao ndo wanajushtukiaga tu wakijileta km hivi unawaambia ukweli wao wanaanza na kulaani, nilikufundisha my foot
January ifike jamani form one waje, napenda watoto, watoto ni baraka.....πΉπΉπΉπ€£π€£π€£Relax cute....
Kapeace hana huruma anapiga spana pale pale kwenye mshono π€£π€£π€£π€£noma sana hajui ataua.πππππππSisteri anamnyoosha mwalimu wetu hadi basi.
Tenda wema nenda zako.Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....
Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?
Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.
Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?π₯΄π€
Amen kubwa πΉπΉπ€£π€£π€£Ubarikiweπ
Hujaelewa hata nilichojibu,Adhabu,kwani Nani kasema kumfundisha mtoto lazima upigeπ³ huyu dada huyu mbona Kama ndo umeanza kuharibu
π’π’π€£π€£π€£π€£π€£π€£π€£ππππππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎππΎ Heshima yako mkuuWanapewa malipo ya kazi yao, kubutuliwa huko ni kawaida yao kutafuta pa kushushia hasira zao nashukuru saiv wanabanwa na serikali katika jambo zima la adhabu, sasa machungu aliyonayo mtoa mada unadhani mtoto asipoelewa aeiou nini kitamkuta!
Sie hatuna shida nao wao ndo wanajushtukiaga tu wakijileta km hivi unawaambia ukweli wao wanaanza na kulaani, nilikufundisha my foot
Huu utundu unaonekana kila jila na msumbufu ulikuwemoπUnalalama mnadharaulika ndo tunakupa sababu inayopelekea kudharaulika kwwnye jamii, usitafute chaka la kuzidiwa mara mmetufundisha inakuwa kama mama anaedaiwa na mwanae akianza kuleta visababu vya unajua nimekuzaa niliteseka sana, hizo ni bla bla blaaa blaaa
Watoto tutawaletea tu muwatoe ujinga kama mlivyotutoa sisi ila ukweli lazima tuwaambie, acheni kutumika kama backup mambo ya watu fulani yakikwama. Mbona wasiwaite watumishi wa TRA au TANESCO kuja kwenye mambo yao mnaitwa nyie?Oke oke,haya nyie sekta zingine ni mageuzi gani mmefanya? Yapi ambayo mwalimu anapelekeshwa Kama kondoo nyie mmeikomboa nchi? Kama hamuitaki CCM msitegemee walimu wakatae kupewa Kaz na serikali ambayo ndiyo inalipa mishahara ya watumishi wote huku nyie mmekaa tu....Nanyi ni wananchi,Kama mwaumia wajibikeni msikike....walimu walimu....kwanini msistop kuleta wanenu tusije tukawajaza ujinga!?
Tatizo lenu hadi tunawachukia ni kitendo cha nyinyi kutumika na kupiga kolabo na wale.Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....
Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?
Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.
Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?π₯΄π€
Tena nilikuwa kipole na kitoto cha darasaHuu utundu unaonekana kila jila na msumbufu ulikuwemoπ
Kwani kuna mwingine zaidi ya Mpwayungu Village ?Nani kamuudhi madam To yeye?π€