Ukishangaa ya Mussa

Ukishangaa ya Mussa

Beesmom

JF-Expert Member
Joined
Oct 4, 2022
Posts
37,365
Reaction score
91,923
Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....

Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?

Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.

Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
 
Ujinga wenu ni kutumika na ccm kwenye kuiba kura halafu mnatelekezwa.

Cc: Mpwayungu Village
 
Yaan ufanye Kaz ya kumtoa kamasi,kumlinda,kumpa elimu na malezi stahiki....lakini akipata ufahamu kupitia wewe mwenyewe ageuke aanze kukuona mjinga,fala,maskini....

Okee okee,sawa mie ni maskini,Nina tabu na maisha...lakini je huwezi shukuru pamoja na umaskini wangu bado niliweza kukufungua hilo lifuvu? Kwani kumshukuru mtu inagharimu bei gani?
Haya sawa,twala dagaa na ugali,kwanini usumbuke na maisha yetu ambayo hayakuharibii cheo chako Wala kukuharibia future yako.Ifikie hatua tujifunze kumweshimu mtu na hali aliyonayo hatakama umemzidi Sana.Yaan tuache kushughulika na maisha ya mtu ambaye huna msaada nae.

Hivi walimu sijui tuliwakosea nini eti nyie nyumbu?🥴🤭
Pole sana
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom