Ukishangaa ya Mussa!

Ukishangaa ya Mussa!

Wahenga walisema UKISTAAJABU ya Mussa UTAYAONA ya FIrauni. KUMBE Huko Kuona ni zaidi ya kustaajabu maana ni sawa UPUMBAVU wa kuabudu Wachungaji. Sijui kama naeleweka...
Mkuu, point yako ni nini hasa?

Mara wachungaji...CHADEMA....mara CCM...UKAWA....imani🤔🤫
 
Lakini ndugu yangu kwa mwenye kutaka kunielewa anajua namaanisha nini. Wachungaji sio Mapadre wala Askofu na nimeweka hata mfano wa aina ya Wachungaji kina Zumaridi. Kwa nini mnatafuta neno moja kubadilisha maana ilihali mnaelewa nazungumzia vitu gani...
Mimi nilikuwa nashauri tu.

Na akitokea mchangiaji mwingine na kuanza kutajataja Mashekhe na Misikiti naye nitamshauri kama nilivyofanya kwako.

Mimi lengo langu ni asitokee mtu akautoa mjadala wetu kwenye reli.
 
Tatizo lenu ndio hili, hata mkiambiwa huyu ndiye Mkandara yule yule hamuwezi.amini kwa sabanu mmejenga imani za Walokole mnataka kusikia yale yanayo wapendeza na kuwapa tumaini.

Ukweli hamuutaki. Yalisemwa lakini - "Wana macho lakini hawaoni, wana masikio lakini hawasikii, wana akili lakini hawaelewi" sijui niwasaidiaje!
.
Ulikuwa unatena Madini Maridhawa sasa hoja zimekaa kiuchakavu sana.
 
Mimi nilikuwa nashauri tu.

Na akitokea mchangiaji mwingine na kuanza kutajataja Mashekhe na Misikiti naye nitamshauri kama nilivyofanya kwako.

Mimi lengo langu ni asitokee mtu akautoa mjadala wetu kwenye reli.
Labda hukunisoma vema toka mwanzo - Neno Wachungaji nimeliweka toka mwanzo kama.ufafanuzi wa Kuona ya firauni. Firauni ni nani? Katika imani Firauni ni hawa Manabii wa uongo! Laa hukusoma Biblia au Kuruan.
 
Ulikuwa unatena Madini Maridhawa sasa hoja zimekaa kiuchakavu sana.
Tatizo lenu madini ni dhahabu tu, makinikia sio ya kuzungumzia! Kwa Myahudi hata senti moja ni fedha..😂😂😂
.
 
Ebu iweke clip ambayo Lissu kamtaja Mpishi wake. Sijaona pahala Lissu kamtaja dereva wake. Ikisha jina tulopewa mwanzo sio jina la dereva tulopewa akiwa Nairobi. Na kufika Ubelgiji tukapewa jina jingine.

Kuhusu walinzi umerudia palepale. Kama mtumishi wa Naibu Spika akatoka nje kumsaidia baada ya risasi kurushwa huoni kama haikuwa kama kuna mapungufu hapa. Yaani watumishi watoke nje hawa wawili tu! Na nani alomwita nani atoke nje wakati risasi zinarindima! Aliitwa au alikuja tu mwenyewe..

Okay, wametoka nje sijui baada ya dakika ngapi baada ya wale wasojulikana kuondoka! unataka kusema hakuna watu wengine kabisaaa ukiacha askari unao dai hawakuwepo? Okay hakuna askari, Ile block nzima watumishi ni hao wawili tu? Watu wote wamejichimbia isipokuwa hawa mabinti wawili! Does it make sense?

Yaani sku hiyo, kila kiongozi aliondoa walinzi wake. Wakati ule Chadema ina wabunge zaidi ya 100. Ni Lissu pekee mgombea wa Singida ndiye aloishi hapo mjengoni, tena saa saba mchana hakuna watu!

Je, yeye Lissu hakuwa na mlinzi maana kuishi pale viongozi walikuwa na walinzi wao tena yeye akitafutwa na TISS kila anapienda!

Kuhusu kuhojiwa na Polisi. Lissu akiwa Nairobi walikataa kabisa Polisi au usalama kwenda Hospital. Kila alokwenda pale alifanyiwa uchunguzi. Sema hamkuambiwa ukweli kuwa alokubaliwa pekee ni Mama Samia naye alikwenda kwa ruksa ya rais. Ni protokali.

Anyway, mkuu umenitoa.kwenye reli muda mrefu ila nachosema ni hivi. CCM ilikosa kabisa mvuto, ilikuwa taabani ICU na kosa kubwa walofanya UKAWA ni underestimate CCM wakidhani wangeweza kuivunja ngome yake walipomchukua Lowassa na Sumaye. Hawa wote walikuwa mbinu tu ya kupooza matokeo hata kama Lowassa akishindwa wanajua jinsi ya ku deal naye.

Baada ya hapo, Magufuli kacheza karata zote kuirudisha CCM kwa Wananchi na hakika 2020 Upinzani chali, Lowassa karudi mjengoni.

Kazi iendelee

..Katika hotuba yake ya ufunguzi wa kampeni za Uraisi 2020 Lissu aliwataja kwa majina wadada wawili, pamoja na dereva wake, ambao walimtoa eneo aliposhambuliwa na kumuwahisha Dodoma Hospital.

..Kwa hiyo majina yao yapo na yeyote anayetafuta ukweli anaweza kuyahakiki kwasababu ni mambo ambayo Lissu ameyasema hadharani.

..Kuhusu dereva, aliwahi kuhojiwa na Shirika la Habari la Ujerumani DW na alijitambulisha kwa majina yake, na pia alieleza kilichomtokea yeye na Tundu Lissu.

..Kuhusu suala la Tundu Lissu na dereva kuhojiwa naamini Polisi ndio wanaopiga danadana. Kama vyombo vya habari vimeweza kumfikia na kumhoji Lissu haiingii akilini Polisi nao kushindwa kufanya hivyo.

..Vilevile habari zilizoingia hivi punde ni za Lissu kufika kwa RPC Dodoma kuona gari lake ambalo alishambuliwa akiwa ndani yake. Kwa hiyo mpaka hapo utaona kwamba hoja kwamba Polisi hawawezi kumfikia Lissu haina ukweli wowote.

..Mwisho, upo uwezekano mkubwa kwamba kuna majirani wengi ambao waliona kilichotokea wakati Lissu anashambuliwa. Ni bahati mbaya kwamba vyombo vya habari havikufanya jitihada kuwahoji majirani wanaoishi eneo aliposhambuliwa Lissu.
 
Unatafuta kosa dogo wakati hoja unaielewa! Tatizo la shule za kata! Kwikwikwi..
Kubwa mno hilo, umetoa fact ya uongo!!

Ingekuwa ishu ya word spellings, hilo kweli lingekuwa ni kosa dog au "error" kwa Kiingereza.

Lakini kupotosha fact ni kosa kubwa sana katika uandishi wa utoaji taarifa sahihi.!!

Kuwa muungwana tu. Kwani ukisema tu ,"..I am sorry, kwa hilo nimedanganya...!!" utapungukiwa na nini kwani..?
 
..Katika hotuba yake ya ufunguzi wa kampeni za Uraisi 2020 Lissu aliwataja kwa majina wadada wawili, pamoja na dereva wake, ambao walimtoa eneo aliposhambuliwa na kumuwahisha Dodoma Hospital.

..Kwa hiyo majina yao yapo na yeyote anayetafuta ukweli anaweza kuyahakiki kwasababu ni mambo ambayo Lissu ameyasema hadharani.

..Kuhusu dereva, aliwahi kuhojiwa na Shirika la Habari la Ujerumani DW na alijitambulisha kwa majina yake, na pia alieleza kilichomtokea yeye na Tundu Lissu.

..Kuhusu suala la Tundu Lissu na dereva kuhojiwa naamini Polisi ndio wanaopiga danadana. Kama vyombo vya habari vimeweza kumfikia na kumhoji Lissu haiingii akilini Polisi nao kushindwa kufanya hivyo.

..Vilevile habari zilizoingia hivi punde ni za Lissu kufika kwa RPC Dodoma kuona gari lake ambalo alishambuliwa akiwa ndani yake. Kwa hiyo mpaka hapo utaona kwamba hoja kwamba Polisi hawawezi kumfikia Lissu haina ukweli wowote.

..Mwisho, upo uwezekano mkubwa kwamba kuna majirani wengi ambao waliona kilichotokea wakati Lissu anashambuliwa. Ni bahati mbaya kwamba vyombo vya habari havikufanya jitihada kuwahoji majirani wanaoishi eneo aliposhambuliwa Lissu.
Mkuu kama huna ushahidi wa jambo lolote isipokuwa hearsay ndio yale nayosema ya Wachungaji - Changanya na zako!

Kama Tundu Lissu aliokolewa na Wasichana wawili katika eneo nyeti la makazi ya Viongozi huoni kama kuna mushkeri katika habari hii? Yaani hapakuwa na wwtu wentine isipokuwa wasichana wawili vijakazi!

Yaani block nzima wasitokee watu isipokuwa wasichana wawili ambao wewe huwajui ila unanambia nikasome hotuba yake. Najua aliwahi mtaja Rehema mfanyakazi wa Naibu Spika lakini mpishi wake yeye ni nani? Unamjua au ndio habari ya kuambiwa!

Dereva wake nimesema hapo nyuma tulipewa majina matatu tofauti, wewe una hakika gani alohojiwa Ujarumani ndiye dereva wake alokuwa naye siku ile. Huyo Dereva kenda Ujarumani kufanya nini? Kwa nini kenda kuhojiwa na vyomvo vya habari Ujarumani na sio Polisi ya Tanzania? Na Ili iweje? Kama sii kampeni za kuendelea kutafuta wafadhili.

Okay, Lissu karudi nchini kwa nini dereva hajarudi? Nina hakika Chadema wanamjua, Bunge linamjua na akiwepo yeye atasaidia sana Uchunguzi pengine yeye anajua ndiye suspect namba moja! Kuna tatizo gani kumleta dereva!

Hakuna anayepinga Lissu kupigwa risasi lakini msala wake haukukaa vizuri kama kwamba kuna vitu wanaficha mpaka leo. Mimi nadhani ilitokea nje ya pale wakajivuta mpaka pale kisha akajenga hoja ya kuilaumu serikali maana risasi 30 naa watu wasitokee kabisa ila hao wasichana sijui wanawake!

Lissu kenda kwa RPC kulitazama gari lake lakini hataki kuhojiwa na vyombo vya Serikali kwa sababu yeye ni victim. Ati kama angekufa wangefanyaje? Alaaa upo hai unataka waanzie wapi kama sio kwako? What if sii sababu kabisa.

Yaani Lissu yupo radhi kwenda kwenye vyombo vya habari kueleza kisa mkasa lakini hataki kukutana na maswali ya kiintelejesia! Okay mbaya wake hayupo tena kwa nini bado hataki kuhojiwa akiulizwa anasema mbona hakuhojiwa akiwa Nairobi wala Belgium! So what? Upo hapa sasa hivi kwani shida iko wapi? Je unataka hili swali liwe resolved au unataka iwe hadithi ya maisha yako!

Binafsi simuani huyu jamaa toka namjua. Najua he is very ambitious to be the next President kwa kutumia huruma ya Wananchi lakini sii kwa njia hizi. Kweli haikufaa kabisa madhara alopata lakini he is not cooperating na vyombo vya sheria.

Yeye kila siku ni Ushindani iwe na wanasheria au Serikali. Utawezaje kuwa rais wa nchi ikiwa vyombo vya Sheria huviamini wala hutaki kushirikiana navyo? Wee ni kualaumu tuu basi itabidi watumishi wote wafukuzwe kazi uunde jeshi lako!

Am sorry, mimi naishia hapa nisije poteza mwelekeo wa.mada hii kwa sababu ya mpuuzi mmoja Tundu Lissu.
 
Kubwa mno hilo, umetoa fact ya uongo!!

Ingekuwa ishu ya word spellings, hilo kweli lingekuwa ni kosa dog au "error" kwa Kiingereza.

Lakini kupotosha fact ni kosa kubwa sana katika uandishi wa kutoa habari/taarifa..!!
Mimi sio.mwandishi wa habari. Naandika mawazo yangu iwe kosa la wadhifa wa mtu lakini inaeleweka ndiye kahusika na kazi hiyo. Mbona Rais Samia Suluhu Hassan mnamwita Mama! Je, ni Mama yenu?
 
Mimi sio.mwandishi wa habari. Naandika mawazo yangu iwe kosa la wadhifa wa mtu lakini inaeleweka ndiye kahusika na kazi hiyo. Mbona Rais Samia Suluhu Hassan mnamwita Mama! Je, ni Mama yenu?
It's irrelevant comparison...!!

Edward Lowassa hajawahi kuwa makamu wa Rais Tanzania kama ulivyotaka wasomaji wako waelewe..!!

Mama Samia ni mwanamke, na ni mama pia kama walivyo wamama wengine wote..

Hata mama yako ni mama pia na hata Mimi naweza kumwita hivyo japo si mama yangu mzazi wa kunizaa. Lakini siwezi kusema mama yako Rebecca ni Rais wa Tanzania sasa..!!
 
Wala Mama Samia hawajahi kuwa Mama yetu..
 
Mkuu kama huna ushahidi wa jambo lolote isipokuwa hearsay ndio yale nayosema ya Wachungaji. Kama Rundu Lissu aliokolewa na Wasichana wawili katika eneo nyeti la makazi ya Viongozi huoni kama kuna mushkeri katika habari hii?

Yaani block nzima wasitoke.watu isipokuwa wasichana wawili ambao wewe huwajui ila unanambia nikasome hotuba yake. Najua aliwahi mtaja Rehema mfanyakazi wa Naibu Spika lakini mpishi wake yeye ni nani? Unamjua au habari ya kuambiwa!

Dereva wake nimesema hapo nyuma tuliapewa majina matatu tofauti, wewe una hakika gani alohojiwa Ujarumani. Dereva kenda Ujarumani kufanya nini? Kwa nini kenda kuhojiwa Ujarumani na sio Tanzania? Ili iweje? Kama.sii kampeni za kuendelea kutafuta wafadhili.

Okay, Lissu karudi nchini kwa nini dereva hajarudi? Nina hakika Chadema wanamjua, Bunge linamjua na akiwepo yeye itasaidia Uchunguzi pengine yeye ndiye suspect namba moja! Kuna tatizo gani kumletwa dereva!

Hakuba anayepinga Lissu kupigwa risasi lakini msala wake haukukaa vizuri kama kwamba kuna vitu wanaficha mpaka leo.

Lissu kenda.kwa RPC kulitazama gari lake lakini hataki kuhojiwa na vyomvo vya Seeikali.kwa sababu yeye ni victim. Ati kama angelufa wangefanyaje? Alaaa upo hai unataka waanzie wapi? Yaani Lissu yupo radhi kwenda kwenye vyombo vya habari kueleza kisa.mkasa lakini hataki kukutana na maswali ya kiintelejesia! Okay mabaya wake hayupo tena kwa nini bado hataki kuhojiwa akiulizwa anasema hakuhojiwa akiwa Nairobi wala Belgium! So what? Upo hapa sasa hivi kwani shida iko wapi? Je unataka hili swali liwe resolved au unataka iwe hadithi ya maisha yako!

Bjnafsi simuani huyi jamaa toka namjua. Najua he is very ambitious to be the next President kwa kutumia huruma ya Wananchi lakini sii kwa njia hizi. Kweli haikufaa kabisa madhara alopata lakini he is not cooperating na vyomvo vya sheria. Yeye kila siku ni Ushindani iwe wanasheria ay Serikali. Utawezajw kuwa rais wa nchi ikiwa vyombo vya Sheria huviamini wala hutaki kushirikiana navyo? Wee ni kualaumu tuu basi itabidi watumishi wote wafukuzwe kazi uunde jeshi lako.

Am sorry, mimi naishia hapa nisije poteza mwelekeo wa.mada hii kwa sababu ya mpuuzi mmoja Tundu Lissu.

..Lissu hajakataa kuhojiwa na Polisi.

..Kukataa kuhojiwa ktk tukio la Jinai ni kosa la Jinai.

..Pia baada ya uchaguzi mkuu Lissu alikamatwa na Polisi lakini walimhoji kwa mambo yao ya kipuuzi.

..Hoja kwamba Lissu hapatikani, au hataki kuhojiwa, ni danadana tu za Polisi kuwalinda waliomtendea uovu.

..Kuhusu watu waliomuokoa Lissu na kumkimbiza hospitali hilo ni suala ambalo waandishi wa habari na hata polisi wanaweza kulihakiki ili kujua kama Lissu anasema ukweli au la.

..Mimi ktk suala la nani alimkimbiza hospitali namuamini zaidi Lissu kwasababu yeye ndio victim.

..Kwenye matukio ya jinai victim ndiye shahidi anayeaminiwa kuliko wote.

..Kwa uelewa wangu, dereva alihojiwa na DW Sauti ya Ujerumani akiwa Ubelgiji. Na alijitambulisha majina yake. Na alieleza historia yake na Lissu.

..Kama yule kijana ni muongo basi kungejitokeza watu wa kusema yule sio dereva wa Tundu Lissu.

..Mahojiano yamefanyika miaka zaidi ya 4 sasa na hakuna mtu aliyejitokeza kupinga au kukanusha alichokisema dereva.

..Kuhusu dereva kuhojiwa nje ya nchi vs hapa Tanzania hilo ni suala ambalo Polisi wa Tanzania wanatakiwa walitolee maelezo.

..Je, Polisi wamefanya jitihada zozote kuwasiliana na wenzao wa Ubelgiji ili dereva ahojiwe, au arejeshwe Tanzania?

..Kwa maoni yangu waliomshambulia Lissu wanalindwa na Polisi na ndio maana hawajatiwa nguvuni mpaka leo.
 
..Tatizo la Magufuli lilikuwa ni ukatili tena usiojificha.

..Magufuli alikuwa hajisumbui kuficha uovu wake, na ndio maana ni Raisi anaryeshambuliwa kuliko watangulizi wake.

..Kwa mfano, unampiga Mbunge Risasi ktk makazi ya viongozi wa bunge la serikali halafu unategemea watu wasichukizwe.
Una ushahidi!
 
Una ushahidi!
1. Ushahidi naomba moja ni mpigwa risasi yupo, hakufa...!!

2. Magufuli ndiye alikuwa Rais. Alinyamazia kimya tukio hilo hadi mwishowe akafa yeye..

3. Polisi hawajafanya kazi yao ya uchunguzi wa jinai na kushitaki..

4. CCTV Camera zote za makazi ya vigogo wa serikali na katika nyumba aliyokuwa akiishi Tundu Lissu na Waziri wa nishati by then akiwa ni Medard Kalemani (swahiba na homeboy wa Magufuli) ziliondolewa na hazijulikani zilipo mpaka leo..!!

5. Mageti ya kuingilia kwenye makazi hayo ya viongozi hulindwa 24hrs, 7days a week, na polisi, lakini siku hiyo na saa ya utekelezaji wa tukio hilo waliondolewa.

Ndugu, kwa scenario hii ndogo tu bado huna akili tu ya kuelewa muhusika ni nani???

Huelewi tu kuwa huu ulikuwa mpango wa Ikulu moja kwa moja wakati huo mpangaji akiwa John P. Magufuli..??

Kama huelewi, basi hutakaa uelewe chochote milele..!!
 
Kupigw risas kwa Tundu lissu ni ndani ya chama chao wao wenyew ko serikali wala rais hawez akaingilia mgogoro wa chama kingine
 
Back
Top Bottom