Ukishangaa ya musa.....

B'REAL

JF-Expert Member
Joined
Oct 20, 2010
Posts
4,582
Reaction score
3,272
wakuu naomba kuwakilisha katika pitapita zangu,nimekutana na hii news...MWANAUME ALIEKUWA AKITUMIA ARV AOTA MATITI.,nikaafikiri ni ARV original au ndo jamaa alibungiaa za wife,za kutengeneza chakulaa cha mtoto aka manyonyo akizani ARV ndo yaka mkutaa hayaa.
 

halafu hii inshu ishazungumziwa humu ngoja niangalie uzi wake
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…