Mbona wewe tumekuvumilia sana hapa nyumbanMwanangu akishafikisha 23 na anajielewa..nitamtoa kwangu hata kwa tarumbeta.
Mwanangu wa kiume na miaka 6, akimaliza shule popota atakapoishia ntamtoa nyumbani akapambane huko akapata akili. Akikaa nyumbani hapati changamoto, nampa kahela kidogo kakuanzia. Ila wa kike kama hana muelekeo na hapati mume bora nizeekee nae nyumbani kwangu na sio nimfukuze akajiuze huko kwenye mabaa.Mwanangu akishafikisha 23 na anajielewa..nitamtoa kwangu hata kwa tarumbeta.
bora nizeekee nae nyumbani kwangu na sio nimfukuze akajiuze huko kwenye mabaa.
Hujaelewa mkuu.Bora ajiuze ukiwa naye nyumbani au sio?
Usifanye kwa kumlazimisha otherwise utaongeza majambazi mtaaniMwanangu akishafikisha 23 na anajielewa..nitamtoa kwangu hata kwa tarumbeta.
Unaandika kwa kutumia ubongo wa kichwani, miaka 23 ni kijana wa mwaka wa 2 au wakwanza chuoni endapo anasoma unamfukuza nyumbani kwamaana gani pia naweza kukuunga mkono endapo umemuandalia Mtaji au network za ajira za kueleweka, mbali na hapo ni baba wa hovyo.Mwanangu akishafikisha 23 na anajielewa, nitamtoa kwangu hata kwa tarumbeta.
Nitamuandaa mapema kiasi Cha kwamba hata nikimtoa home hawi janga katika Jamii.Usifanye kwa kumlazimisha otherwise utaongeza majambazi mtaani
Miaka 23 mtoto wangu atakuwa ameshamaliza chuo..na kwa muda huo nitakuwa nimemuandalia mazingira mazuri.unaandika kwa kutumia ubongo wa kichwani, miaka 23 ni kijana wa mwaka wa 2 au wakwanza chuoni endapo anasoma unamfukuza nyumbani kwamaana gani pia naweza kujiunga mkono endapo umemandalia Mtaji au network za ajira za kueleweka, mbali na hapo ni baba wa hovyo.
Pia tusukariri kuwai kututegemea hai guarantee kufanikiwa mapema anaweza mtu ukamtangulia ana akakutoa knock out vizuri tu.
hapa naunga mkono.Miaka 23 mtoto wangu atakuwa ameshamaliza chuo..na kwa muda huo nitakuwa nimemuandalia mazingira mazuri.
Hujaelewa mkuu.
Muhimu ni kumuwekea misingi bora ya kujitegemea.Mwanangu akishafikisha 23 na anajielewa..nitamtoa kwangu hata kwa tarumbeta.