cleaner wrasse
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 9,078
- 10,120
Daah bongo stress sana
Mwenye pesa harogwi......mchawi siku zoote humuogopa mwenye pesa,maana anajua akimchezea tuu vita yake haiwezi maana mwenye pesa anaweza kuita waganga kutoka pande zote za dunia ili kupambana 😁😁😁sie makapuku ndo tunaorogwaUrogwe una hela
Yani tusipike kisa hutakula?Yaani mtu kupikiwa tu unamind ninapika vizuri ukitaka utakula usipotaka utaenda kula ulipozoea.