Kunguru wa Manzese
JF-Expert Member
- Apr 20, 2016
- 12,728
- 18,242
We hujiulizi tu huoni unalazimishwaJuzi nimelazimishwa kula ugali samaki nahisi moyo kwenda mbio.
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
We hujiulizi tu huoni unalazimishwaJuzi nimelazimishwa kula ugali samaki nahisi moyo kwenda mbio.
Mnashindwa kazi kwasababu ya ulevi, na mnakosa maendeleo kwasababu ya ulevi.Kama una mpenzi mpya wa kike alafu kabla hamjazoeana sana ukaruhusu akupikie unaumia. Hapo ndipo atakapo kumaliza kwa madawa ya mitishamba.
Mademu wa kibongo wanaamini sana mitishamba.
Ndio maana wanatuvuruga akili zetu mpaka tunashindwa kufanya kazi na maendeleo.
Yaani urogwe na ka hotipoti unakabananisha humo humo kwenye kabati la nguo?Mi siwez ruhusu demu anipikie mara nyingi naletewa kwenye hotpot nakiweka kabatin akiniambia mbona uli namwambia nala baadae akiondoka nampa mwana yeyote atakeokuwepo around mida hyo
Uchawi ni real upo sema watoto hawawezi elewaView attachment 1963355
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Wanaume wa bongo bwana. Jiute anamiliki boxer yake tu kwenye nyumba ya kupanga ...kapendwa hivyo hivyo ila kutwa kuhofia kurogwa
Hebu mkipendwa pendaneni
Furahieni mapenzi
Maisha yenyewe mafupi haha!!!!
Kwa sababu hayajakukutaSiamini katika hizo dawa mkuu
Juzi nimelazimishwa kula ugali samaki nahisi moyo kwenda mbio.
Hunge kataaa Unge mwambia ukila samaki Una tapikaJuzi nimelazimishwa kula ugali samaki nahisi moyo kwenda mbio.
Hujui unachosema.Kitendo cha kuamini hizo mitishamba zitafanya lolote kwako na wewe ni Mshirikina kama yeye
Sister uchawi upo haijalishi una hali gani ya kiuchumiYaani urogwe na ka hotipoti unakabananisha humo humo kwenye kabati la nguo?
Matumizi mabaya ya rasilimali za babu.
Kama una mpenzi mpya wa kike alafu kabla hamjazoeana sana ukaruhusu akupikie unaumia. Hapo ndipo atakapo kumaliza kwa madawa ya mitishamba.
Mademu wa kibongo wanaamini sana mitishamba.
Ndio maana wanatuvuruga akili zetu mpaka tunashindwa kufanya kazi na maendeleo.
Acha ushirikinaKama una mpenzi mpya wa kike alafu kabla hamjazoeana sana ukaruhusu akupikie unaumia. Hapo ndipo atakapo kumaliza kwa madawa ya mitishamba.
Mademu wa kibongo wanaamini sana mitishamba.
Ndio maana wanatuvuruga akili zetu mpaka tunashindwa kufanya kazi na maendeleo.
Here we go that is ma boy Zero IQ...Siamini katika hizo dawa mkuu
Nikimpata wa hivyo nitashukuru sana, yuko wapi?? Hayo madawa ananunua yeye au pesa nitoe Mimi?Kama una mpenzi mpya wa kike alafu kabla hamjazoeana sana ukaruhusu akupikie unaumia. Hapo ndipo atakapo kumaliza kwa madawa ya mitishamba.
Mademu wa kibongo wanaamini sana mitishamba.
Ndio maana wanatuvuruga akili zetu mpaka tunashindwa kufanya kazi na maendeleo.
SJAELEW KIDOGO MISS.Mtu na boxer yake tu na ana hofu ya kuligwa[emoji706]
Sent from my SM-G960U using JamiiForums mobile app