Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,480
- 7,443
Kama una mpenzi mpya wa kike alafu kabla hamjazoeana sana ukaruhusu akupikie unaumia. Hapo ndipo atakapo kumaliza kwa madawa ya mitishamba.
Mademu wa kibongo wanaamini sana mitishamba.
Ndio maana wanatuvuruga akili zetu mpaka tunashindwa kufanya kazi na maendeleo.
Mademu wa kibongo wanaamini sana mitishamba.
Ndio maana wanatuvuruga akili zetu mpaka tunashindwa kufanya kazi na maendeleo.