Ukipoteza pesa, haujapoteza chochote. Ukipoteza Afya, umepoteza kitu

Eli Cohen

JF-Expert Member
Jun 19, 2023
1,397
4,263
■■When you lose your money, you lose nothing.

When you lose your health, you lose something.

When you lose your strong/good character, You lose everything.

■■Ukipoteza Pesa, Haujapoteza Chochote

Ukipoteza Afya, Umepoteza kitu

Ukipoteza Mwenendo shupavu/Tabia njema, umepoteza kila kitu.

SOURCE/COURTESY: Lansky Movie

●●●●●●●●●●●

Pesa na Afya ni muhimu sana ila hivi vyote hauwezi kuvipata au vinaweza potea ukishakuwa hauna a strong and nice character.

Mwenendo mbovu utapoteza pesa yako, utaharibu afya yako.

Ila huo mwenendo utapokuwa shupavu na njema ndio utakurudishia pesa na afya yako ambazo utapaoteza.

Strong and nice character ni kuwa mwaminifu, fikra angavu, kuperform under pressure, kutotoa maamuzi ukiwa under na high emotions, upendo, presentable, stable but not easy.

●●●●●●●●●●●●

WEEKEND NJEMA WAKUU.
 
Asante weekend njema kwako pia
 
Nimepoteza kila kitu mpaka sasa.. Mke, nyumba, gari, plot yangu nzuri, biashara kama imekufa lakini namshukuru Mungu nipo na afya njema najiona kupata zaidi ya nilivyokuwa navyo. Maisha yana changamoto nyingi sana ila siku zote omba afya njema tu
 
Pole mkuu , pole sana

Mungu aendelee kukulinda.

Nafurahi kuona una good character.

Hii ndio itakuongoza na kukurudisha katika mstari.

Usiache kumuomba Mungu na wala usikate tamaa ukikumbuka ya zamani ila yakupe challenge ya kujitafuta.

SAFARI NJEMA MKUU.
 
Amina. Asante sana uzi wako umeniongeza nguvu mkuu
 
Kabisa mkuu kama vp kama upo mazingira hayo hayo hama kabisa ili upate mtazAmo mpya na sio fikra za kujirudia ilivyokuwa.

Ila pia endelea kuwa a strong character.
 
Back
Top Bottom