Ukipewa nafasi ya kuyaanza upya Maisha yako jambo gani ungelibadilisha?

Mim ningetaka tu hizi akili nilizonazo sasa, ningezipata mapema.. niishi na watu ninavyojisikia kwakua najua mengi.
 
Mimi kwakweli ningetaka kwanza nirudi shuleni kuanza chekechea mpaka darasa la saba, nategea ikifika 2009 nakuwa Msanii najiita Diamond Platnumz natunga kamwambie ndio naanza nao maana si ndio uliomtoa sianzi na ile sijui jisachi, maana sitatoka ntapigika kitaa.

Ewe Mwenzangu na mimi niambie nawe Mawazo yako ukipewa hiyo nafasi karibu. Mnisamee hizi ni bangi za kuvuta bila kula
Huu uzi haufai kuwa katika hili jukwaa.

Mhariri Moderator Active Silencer Panel Fang
 
Mimi kwakweli ningetaka kwanza nirudi shuleni kuanza chekechea mpaka darasa la saba, nategea ikifika 2009 nakuwa Msanii najiita Diamond Platnumz natunga kamwambie ndio naanza nao maana si ndio uliomtoa sianzi na ile sijui jisachi, maana sitatoka ntapigika kitaa.

Ewe Mwenzangu na mimi niambie nawe Mawazo yako ukipewa hiyo nafasi karibu. Mnisamee hizi ni bangi za kuvuta bila kula
Screenshot_20200716-235926.jpg
 
Nisingepoteza muda kusoma mpaka chuo. Ningesoma hata online dgree huku nikifanya michongo ya kitaa kutafta pesa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom