Ukipewa nafasi hii utautumiaje??

Ukipewa nafasi hii utautumiaje??

Hahaha...mimi ni JF memba mzalendo, miaka yote hii nina ID moja tu!!!
Baada ya ile post tu nililala zangu best...

Dah,hongera best watu8,mie nina Id kadhaa,kwani tangu nilipojiunga na Jf nimekuwa mhanga wa BAN,hata hivyo,kwa sasa nimezifaham vema sheria za Jf na Id zingine zitakuwa inactive.
 
Last edited by a moderator:
my cousin charminglady mm ningechagua jukwaa la Siasa, watu wazima, michezo na jukwaa la elimu
 
Last edited by a moderator:
Love connect..jukwaa linakera sana lile..wengine wanatafuta mijimama..wengine migegedo..wengine sijui wapo ulaya...ili mradi asilimia nyingi ni wazugaji
 
1.international
2.dokta
3.na sijui nini za kenya

Nalog off
 
Back
Top Bottom