Mtoto halali na hela
JF-Expert Member
- Aug 10, 2012
- 55,839
- 55,654
Sijaonjaga machungu ya ban so I cant explain
Napita tu!
Ok! Hapo sina neno!
Na wale wanaotukaniana dini/faith !
Nayo siasa eeh?
1. Jukwaa la Kikubwa
Sidhani na wala sitarajii kuomba ruhusa jukwaa hilo. Ingawa sijawahi kuingia huko, ila naamini hakuna jambo jipya la kujifunza(sioni kama nitaongeza ujuzi wowote), hivyo nilishajipiga BAN ya jumla jumla tangu awali.
Na ile Id yako nyingine unayo ingia nayo kule utaipiga BAN?{KIDDING}
BTW hulali wewe baba sweetlady?
Teh teh teh...... Hebu mtake radhi daddy yetu kabla hatujakurarua... Hapo alikuwa katoka kufanya mazoezi mepesi akapitia hapa. .. Mbona wewe hujalala?????
Na ukirudi pia upite....!
Jiweeeee..... Eti -------- Si umalizie tu???? Kuna mijitu inakera sana kule. Itaishia kuwa kama wapiga debe tu ilhali hawaondoki na gari!!!!!
Bun....bun...bun....
Mambo charminglady?
Achana nae huyo kwanza kwa weekend hii hana dili....!
Ukiona hivyo ujue hutakiwi!Haya ndo narudi ila njia imefumgwa.
Ngoja nikae humuhumu.